Huu ugomvi ni wa wapandishwa madaraja na wasamehewa kodi kwa asilimia 1, ajabu madhara yanatugonga mpaka sisi wakulima.
Kama hesabu zao zilikuwa kuwafurahisha upande huu, na kuwachota upande wa pili, si wangetafuta mbinu za kudili nao kiserikali.
Eti akapunguza paye kwa 1%, akawapandisha madaraja KISHA akawapiga na tozo, kodi ya kizalendo.
Kama vipi akaushe tu, kwanza amesema sisi wenyewe hatuna shida na tozo. Ajitahidi kuongeza sifuri sifuri kwenye hizo tozo, sh 100 au 1000 ndo nini sasa? Sifuri nne mpaka tano itapendeza zaidi.