Mpaka muda huu ni wazi kuwa Wasafi Festival ni Joka la kibisa kwa Tigo Fiesta.

Jimmy De Lite

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2019
Posts
635
Reaction score
2,321
Hey Guys,,,,

okay,,,fresh

Hakuna asiye jua jinsi Wasafi festival ilivyo kuja kwa nguvu mpaka kupelekea kuwatia mashaka clouds na Fiesta yao.

Ile hali kwa hali ya kawaida ilikuwa ni tishio kubwa kwa clouds,Hata mtu aliye kuwa anashuhudia ile vita ni wazi kabisa kulikuwa na asilimia 80 ya clouds kudondoka hasa ukizingatia Ruge alikuwa hayupo tena(alikuwa ICU),

Baada ya Ruge kufariki ndo kabisaa watu tuka amini huu ndo mwisho wa utawala wa clouds.

Mwaka huu nimezifuatilia hizi show mbili pinzani (wasafi na Fiesta),nilicho gundua ni kuwa,Clouds hajapata mpinzani bado,Wasafi festival licha ya kuwa ndo show yenye wasanii wakubwa ikiongozwa na Diamond Lakini kila mkoa inapo enda haishitui kama ilivyo kwa Tigo fiesta,Sijui tatizo ni nini,

Wasafi imeanzisha tamasha hili kutegemea nguvu aliyo nayo Diamond na kila kitu kumwachia yeye mpaka promo,Wamesahau kuwa lile ni tamasha so lazima liwe na watu nyuma yake wanao deal na vitu vingine ili Diamond abaki kama performer tu

Kwa maana hiyo hilo tamasha siyo la kudumu Bali nila muda tu cz halina Hata kitu cha ziada ndani yake,

Kama kuna watu nyuma ya tamasha la Wasafi basi ni wazi kuwa tayari wameshafeli,

Nataman nimjue yule aliye kuwa nyuma ya ile show ya Diamond iliyo fanyika Kahama,Ni show iliyo kuwa na mvuto kuanzia promo mpaka stejini pale,Nilitegemea show zote za mwaka huu watakapo pita Wasafi itakuwa zaidi ya pale,Lakini imekuwa tofauti kabisa.

Clouds haijapata mpinzani bado, ila sema wamepata mpinzani wa kuwafanya wazidi kujiimarisha,Imagne weekend hii Tigo fiesta inafanyika Dodoma ila kuna mashabiki kama uki penda utanunua tiketi hapa Dar na uta ondoka na Treni,humo ndani kutakuwa na bata zote,kuanzia wasanii wote,DJ's wote wa clouds pamoja na Presenters wote,humo ni mwendo wa bata tu mpaka Dom,kwa ubunifu huu ni nani wa kushindana na hawa jamaa? Najua hapa kuna watu watasema kuwa eti clouds wanatafuta watu wa kujaza show😀😀😀.

Wasafi niwashauri kitu,

Hii Dunia ya sasa kila kitu ni ubunifu,nyie najua jeuri yenu ni kuwa mna wasanii wakubwa hivyo watu watakuja kwenye tamasha lenu,kama jeuri yenu ni hiyo basi mshafeli,Mnahitaji kujichang'anya na watu ili kuleta hamasa kama wafanyavyo CMG,Pia hili la kujiamini kuwa mna kila kitu cha kuwavutia watu mmelipeleka mpaka kwenye TV na Radio yenu,Mkiendelea na hii jeuri yenu basi mjue media yenu itaishia kuwa kama Times FM tu,Kumbukeni Diamond huko mbeleni hatakuwepo au hatakuwa na influence kama aliyonayo sasa ila hilo tamasha na hzo Radio\Tv vitakuwepo,huu ni muda wa walioko chini ya hivyo vitu kufanya promo ya kutosha kupitia brand ya Wasafi ili vijitegemee na siyo kumtegemea Diamond.

#Jimmy-De-Lite
 
CLOUDS kwa ubunifu huu wataendelea kusumbua sana kwenye matamasha ya muziki,influence inaanzia nje kwanza shughuli kibao mwsho wanamaliza na show
 
Show za wasafi zimekuwa zikijaza Sana lakini pia nenda kaangalie mapokezi wanayopata ni makubwa lakini pia ndio show yenye wadhamini wengi kuliko tamasha lolote la hapa Tanzania.Ingekuwa imedorora Kama unavyosema mtoa mada isingekuwa inajaza watu wengi?lakini pia isingekuwa inapata wadhamini wengi kuliko tamasha lolote.Nafikiri umeongea kwa chuki zako binafsi.
 
Ishu sio wadhamini wengi,,ishu ni udhamini ni wa kiasi gani??..tumia akili
 
wew unajulikana😁😁
 
Ishu sio wadhamini wengi,,ishu ni udhamini ni wa kiasi gani??..tumia akili
Umeuliza swali la kijinga Sana cos wasafi wamepata udhamini na makampuni makubwa wana pepsi,Gsm,Tanzania airway,Tacaaids n.k alafu unamtegemea kiasi kiwe kidogo?
 
Hey Guys,,,,

okay,,,fresh

Hakuna asiye jua jinsi Wasafi festival ilivyo kuja kwa nguvu mpaka kupelekea kuwatia mashaka clouds na Fiesta yao.

Ile hali kwa hali ya kawaida ilikuwa ni tishio kubwa kwa clouds,Hata mtu aliye kuwa anashuhudia ile vita ni wazi kabisa kulikuwa na asilimia 80 ya clouds kudondoka hasa ukizingatia Ruge alikuwa hayupo tena(alikuwa ICU),

Baada ya Ruge kufariki ndo kabisaa watu tuka amini huu ndo mwisho wa utawala wa clouds.

Mwaka huu nimezifuatilia hizi show mbili pinzani (wasafi na Fiesta),nilicho gundua ni kuwa,Clouds hajapata mpinzani bado,Wasafi festival licha ya kuwa ndo show yenye wasanii wakubwa ikiongozwa na Diamond Lakini kila mkoa inapo enda haishitui kama ilivyo kwa Tigo fiesta,Sijui tatizo ni nini,

Wasafi imeanzisha tamasha hili kutegemea nguvu aliyo nayo Diamond na kila kitu kumwachia yeye mpaka promo,Wamesahau kuwa lile ni tamasha so lazima liwe na watu nyuma yake wanao deal na vitu vingine ili Diamond abaki kama performer tu

Kwa maana hiyo hilo tamasha siyo la kudumu Bali nila muda tu cz halina Hata kitu cha ziada ndani yake,

Kama kuna watu nyuma ya tamasha la Wasafi basi ni wazi kuwa tayari wameshafeli,

Nataman nimjue yule aliye kuwa nyuma ya ile show ya Diamond iliyo fanyika Kahama,Ni show iliyo kuwa na mvuto kuanzia promo mpaka stejini pale,Nilitegemea show zote za mwaka huu watakapo pita Wasafi itakuwa zaidi ya pale,Lakini imekuwa tofauti kabisa.

Clouds haijapata mpinzani bado, ila sema wamepata mpinzani wa kuwafanya wazidi kujiimarisha,Imagne weekend hii Tigo fiesta inafanyika Dodoma ila kuna mashabiki kama uki penda utanunua tiketi hapa Dar na uta ondoka na Treni,humo ndani kutakuwa na bata zote,kuanzia wasanii wote,DJ's wote wa clouds pamoja na Presenters wote,humo ni mwendo wa bata tu mpaka Dom,kwa ubunifu huu ni nani wa kushindana na hawa jamaa? Najua hapa kuna watu watasema kuwa eti clouds wanatafuta watu wa kujaza show[emoji3][emoji3][emoji3].

Wasafi niwashauri kitu,

Hii Dunia ya sasa kila kitu ni ubunifu,nyie najua jeuri yenu ni kuwa mna wasanii wakubwa hivyo watu watakuja kwenye tamasha lenu,kama jeuri yenu ni hiyo basi mshafeli,Mnahitaji kujichang'anya na watu ili kuleta hamasa kama wafanyavyo CMG,Pia hili la kujiamini kuwa mna kila kitu cha kuwavutia watu mmelipeleka mpaka kwenye TV na Radio yenu,Mkiendelea na hii jeuri yenu basi mjue media yenu itaishia kuwa kama Times FM tu,Kumbukeni Diamond huko mbeleni hatakuwepo au hatakuwa na influence kama aliyonayo sasa ila hilo tamasha na hzo Radio\Tv vitakuwepo,huu ni muda wa walioko chini ya hivyo vitu kufanya promo ya kutosha kupitia brand ya Wasafi ili vijitegemee na siyo kumtegemea Diamond.

#Jimmy-De-Lite
Sijajua umeandika nini kwamba unawaponda wasafi au unataka kusema nn,Wasafi ni Tamasha kubwa ambalo lina miaka miwili saivi toka lianze na linajaza kila mkoa,Fiesta ni tamasha kubwa pia lina mda mrefu toka lianze na linajaza pia,Hizi ni biashara za burudani uchaguzi ni wako kuchagua kwenda wasafi au Fiesta.
 
👎🆗
 
Umeongea point kubwa Sana asipo kuelewa akapime mkojo.
 
Makonda ndio yupo nyuma ya Wasafi na kwasasa huyu kijana yupo katika wakati mgumu kisiasa hivyo hilo tamasha linakwenda hovyo..hata ukipita pale studio za wasafi kwa sisi wa jirani na pale utahisi kama kuna kitu hakipo sawa
 
Uwa sichangii ili jukwaa lakini wacha niongee ' Ruge aliacha mizizi yake pale clouds hata kama hayupo yale mawazo yake yataishi pale muda mrefu, clouds media wanafanya kazi kama timu uwezi kufananisha na walioiga idea. aliyetangulia katangulia
 
Show za wasafi zimekuwa zikijaza Sana lakini pia nenda kaangalie mapokezi wanayopata ni makubwa lakini pia ndio show yenye wadhamini wengi kuliko tamasha lolote la hapa Tanzania.Ingekuwa imedorora Kama unavyosema mtoa mada isingekuwa inajaza watu wengi?lakini pia isingekuwa inapata wadhamini wengi kuliko tamasha lolote.Nafikiri umeongea kwa chuki zako binafsi.
Umeongea nn Sasa hapo.?
 
Uwa sichangii ili jukwaa lakini wacha niongee ' Ruge aliacha mizizi yake pale clouds hata kama hayupo yale mawazo yake yataishi pale muda mrefu, clouds media wanafanya kazi kama timu uwezi kufananisha na walioiga idea. aliyetangulia katangulia
Point. Pia wafanyakaz wa clouds wamejengwa kwa namna ya kuweza kujisimamia na kuendesha kitu bila woga. Tofauti na wasaf wanategemea oder ndo wafanye kitu na hakiwi na mvuto kwa sabab n Kama maagizo tu.
 
Back
Top Bottom