Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,810
Wasafi yote hata kwenye media hawana jipya. Imekuwa clone tu ya Clouds.
Ukiwa mtu huru unaliona hilo.
umeamua kufunga thread
Mods funga hii thread na hii post ya mkaruka iwe ya mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasafi yote hata kwenye media hawana jipya. Imekuwa clone tu ya Clouds.
Ukiwa mtu huru unaliona hilo.
Vihela vidogo shilingi ngapi? Mkataba unao wakuonyesha hizo hela? Fiesta zamani walikuwa wanapiga mikoa zaidi ya 15,mbona mwaka huu wanapiga mikoa 7,sababu wewe unazani ni nini?
Hujanijibu maswali yangu ,i need figures sio maneno? Hivi Pepsi anamdhamini mtoto gani wa Diamond ? Wasafi festival imeaanza wakati Mondi kishaachana na zari. Mpaka sasa hamna mtoto wa Diamond ambaye ni balozi wa kampuni yoyote ile hayupo,muda wa ubalozi wao ushaisha.Mkuu ngoja nikuulize kama unapata mapato ya kukutosha kuna haja ya kuji exhaust kufanya kazi mbili kwa mpigo, mambo mengine yasimame?kuna matamasha yanafanyika mara moja tuu kwa mwaka ila mtonyo wake unawafanya watu wa survive mwaka mzima, wasanii wanalipwa vizuri Tigo fiesta kuliko huko wasafi, tatizo ni nini?
Asilimia kubwa ya hao sponsors ni wale ambao ni sponsor wa diamond na watoto wake anawalipa kwa namna hiyo...tigo fiesta ni brand keeping festival...wasafi bado sana kufikia level hizo,
Hujanijibu maswali yangu ,i need figures sio maneno? Hivi Pepsi anamdhamini mtoto gani wa Diamond ? Wasafi festival imeaanza wakati Mondi kishaachana na zari. Mpaka sasa hamna mtoto wa Diamond ambaye ni balozi wa kampuni yoyote ile hayupo,muda wa ubalozi wao ushaisha.
Sawa wasanii wanalipwa vizuri,Tigo Fiesta kuliko Wasafi,je Fiesta wanapata shilingi ngapi ? na Wasafi wanawapa shilingi ngapi?
Hivi ina maana kufanaya kazi sehemu mbili ni kujichosha? Hivi kuna ubaya gani kufanya kazi mbili,huoni huyo mtu anaongeza kipato. Haya maswali hujani jibu zaidi tu ya kueleza hisia zako.
"Vihela vidogo shilingi ngapi? Mkataba unao wakuonyesha hizo hela? Fiesta zamani walikuwa wanapiga mikoa zaidi ya 15,mbona mwaka huu wanapiga mikoa 7,sababu wewe unazani ni nini? "
Siwezi kukupa figure, kama hiyo ndio base ya argument yako umeshinda, wasanii wasafi wanalipwa zaidi, na wadhamini wa wasafi ndio top top tuishie hapa [emoji1487]
Kwani nani anataka kuwa mshindi?,nimekuuliza maswali kutoka katika hoja zako ulizoziandika ww au ulichokuwa unakiandika ulikuwa hujui unaandika nini.
Kwani nani anataka kuwa mshindi?,nimekuuliza maswali kutoka katika hoja zako ulizoziandika ww au ulichokuwa unakiandika ulikuwa hujui unaandika nini.
Kwa hichi ulichoandika ina maana Tigo wamepunguza udhamini wa tamasha la Fiesta? Tatizo lako unaongozwa na hisia ndio maana mifano mingi,mimi nataka uhalisia wenye tangible evidence (mikataba).Na labda nikuambie tuu mfano kama tigo budget yao ni 2 bilioni kwa festive season clouds lazima wajikite huko hawawezi kufanya mikoa 10 gharama zaidi maana kiuhalisia ela za viingilio hazitoshi, wasafi wanategemea 60m gsm, 10m pampers sijui 5m colgate hata wajaze vipi hawawezi (hii ni mifano)
Kwani brother JK ana share na EFM pia????Ndo maana mimi namkubali sana Blaza Joe
Mnabishana huku Wasafi vs Tigo fiesta, yeye yupo mtu kati
Mnabishana huku Kitenge kutoka efm kwenda Wasafi fm, yeye yupo kati
Yaani bro Joe ni wale ma guru wa ku hedge
Ana buy na kusell at the same time na anabenifit from both transactions
Unaongelea kujaza? Wabongo huwa wanajaza kila sehemu, stendi ya mwendokasi, stendi ya daladala, public toilet, kuki,biza mwizi, mikutano ya dini, mikutano ya siasa, foleni za kununua machangu, foleni za kununua mashoga, mikutano ya chama tawala, mikutano ya upinzani, mikutano ya Hasim Rungwe, kanisani kwa Gwajima vilabuni, makaburini, hata kwenye mapambano ya risasi kati ya polisi na majamabazi wabongo hujaa n.k.Sijajua umeandika nini kwamba unawaponda wasafi au unataka kusema nn,Wasafi ni Tamasha kubwa ambalo lina miaka miwili saivi toka lianze na linajaza kila mkoa,Fiesta ni tamasha kubwa pia lina mda mrefu toka lianze na linajaza pia,Hizi ni biashara za burudani uchaguzi ni wako kuchagua kwenda wasafi au Fiesta.
wew si kuku,umewekewa pumba hzi ule.Moja ya pumba nilizo jutia kuzisoma mwaka 2019 ni ii.. mwandishi acha kutumia mihadarati
Wewe acha uongo wakoShow za wasafi zimekuwa zikijaza Sana lakini pia nenda kaangalie mapokezi wanayopata ni makubwa lakini pia ndio show yenye wadhamini wengi kuliko tamasha lolote la hapa Tanzania.Ingekuwa imedorora Kama unavyosema mtoa mada isingekuwa inajaza watu wengi?lakini pia isingekuwa inapata wadhamini wengi kuliko tamasha lolote.Nafikiri umeongea kwa chuki zako binafsi.
unataka kusema nin?Na hapo ndo kwanza wasafi festival imeanza mwaka huu