Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola.
Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo?
Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati!
Mpaka wamejitayarisha na polisi kabisa ina maana waliandaa mapema kutuletea matokeo ya mchongo?
Uchaguzi huu wa TLS umeonesha udhaifu mkubwa kwa serilkali. Yaani kukiwa na mtu anayeweza kuwachallange tu wanafanya ujinga ambao hata mtoto mdogo anabaki anashangaa!
Wacha tusubiri kitakachojiri!
Soma pia: Yanayojiri Uchaguzi wa Rais TLS: Zoezi la kuhesabu kura limekamilika, Rais wa TLS 2024 kutangazwa muda wowote kutoka sasa