Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Aisee hawa CCM wajanja sana.
Watanzania kwa 90% ni wanaccmAisee hawa CCM wajanja sana.
Ulishawahi kujìuliza ni kwann kwenye nyumba za kulala wageni/ guest Houses wanaweka bibilia ?Aisee hawa CCM wajanja sana.
kama wewe ni daktari wa manesi yule wa twita -- rudi kule kapush hashtag mkuuAisee hawa CCM wajanja sana.
Aisee hawa CCM wajanja sana.
CCM ya mama yako ni gari bovu, wakiiskia Chadema tu wanahaha. Hujiulizi kwa nini wamewafungia wasifanye siasa na kumuweka mwenyekiti wao ndani?CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu
Lissu yupo ndani kutokana na uropokaji wakeCCM ya mama yako ni gari bovu, wakiiskia Chadema tu wanahaha. Hujiulizi kwa nini wamewafungia wasifanye siasa na kumuweka mwenyekiti wao ndani?
ukitaka kummaliza mshindani wako, mjue ndani nje! Heko wana CDM kwa kusoma mbinu za mpinzani, hakika hii vita mtashida tuAisee hawa CCM wajanja sana.
Yes😂😂😂
Kwahy huko chadema, habari kuu kwao ni mambo ya ccm?
Muulize mama yako kwa nini anamuogopa sana Lisu?Lissu yupo ndani kutokana na uropokaji wake
🤣🤣🤣Acha uongo
Wengi wao hawajielewi.....ni mkumbo na mihemko tu.Ndiyo maana nikasema kwamba CHADEMA wameingia kwenye mfumo wa Chama.
Ajabu, wanasingizia kwamba Mbowe peke yake ndiye kajaa kwenye 18 za Chama.