Mpaka Sasa 90+% ya wanachadema wa JF wameifungua na kuisoma katiba ya CCM

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwahy huko chadema, habari kuu kwao ni mambo ya ccm?
 
Kwan inasemaje kuhusu wanaume kutowapiga wake zaoo?
 
Mimi si mmoja katika hao, sijahangaika kusoma huo mkatiba wao na sintahangaika.
 
Ni kwasababu hutumii ubungo wako vizuri,

Lakini hamna ubaya katika hilo.

Na utakuwa umesahau jinsi CCM walivyofuatilia uchaguzi wa Chadema kwa ukaribu mwanzoni mwa mwaka.
 
Ndiyo maana nikasema kwamba CHADEMA wameingia kwenye mfumo wa Chama.

Ajabu, wanasingizia kwamba Mbowe peke yake ndiye kajaa kwenye 18 za Chama.
 
Ndiyo maana nikasema kwamba CHADEMA wameingia kwenye mfumo wa Chama.

Ajabu, wanasingizia kwamba Mbowe peke yake ndiye kajaa kwenye 18 za Chama.
Wengi wao hawajielewi.....ni mkumbo na mihemko tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…