mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kama ni katuni zilikuwa zinaeleweka wakati wetu ni tom & jery, angalia tena Flintstones sasa hivi utagundua zilikuwa zikizungumzia sana migogoro ya ndoa na mahusiano kwa ujumla japo wakati ule tulikuwa tu tunaangalia animations lkn maudhui yake ni ya kikubwa sana.si kweli kuna hii ya Mr fliston na welmar ni nzuri nayo inachekesha sana
Yaani muda muda huu ni saa 22: 55 ndio niko naangalia tom and Jerry, baada ya kichwa kuuma sana siku ya leo ndio nimejituza na catoonView attachment 2305061
wewe na Tom and Jerry nani mkubwa?Napendaga kuziangalia nikiwa na watoto ila mwenyewe mmmh ngumu
Ile ya Tom na demu ndo huwa inaniacha hoi wanavyogombania demu na masela wakeπππ jerry mtu kavu sana πππKina chonishangaza katuni za Tom na Jerry, mafundi wao, Wana sayansi wao, wezi wao, majambazi wao.
Walimu wao, wanafunzi wao, madereva wao n.k.
Yaani fani zote wanaziweza.
Edition za Fred Quimby ndio the best pamoja na za hanna and babera.Napenda sana tom and Jerry
Jamaa aliyeandaa ni genious
Fred Quimby alivuta hanna and babera wakaendeleza kidogo ndio zikaja za genie ditch. Za mwisho hazikuwa nzuri sanaHaraka haraka majina ya William hanna, fred quimby na nani sijui barbera yamekuja kichwani nilikuwa si rahisi kutoka kwenye tv, hivi bado production inaendelea?
Fredy quimby ndio yule mbabu mbabu ambae picha zake naziona uko juuEdition za Fred Quimby ndio the best pamoja na za hanna and babera.