Mpaka Sasa hakuna Katuni ya kufurahisha Kama Tom na Jerry

Mpaka Sasa hakuna Katuni ya kufurahisha Kama Tom na Jerry

si kweli kuna hii ya Mr fliston na welmar ni nzuri nayo inachekesha sana
kama ni katuni zilikuwa zinaeleweka wakati wetu ni tom & jery, angalia tena Flintstones sasa hivi utagundua zilikuwa zikizungumzia sana migogoro ya ndoa na mahusiano kwa ujumla japo wakati ule tulikuwa tu tunaangalia animations lkn maudhui yake ni ya kikubwa sana.

hapa nazungumzia ambao wkt huo 30 yrs back tulikuwa lutengano primary school.
 
IMG-20220413-WA0000.jpg
 
Haraka haraka majina ya William hanna, fred quimby na nani sijui barbera yamekuja kichwani nilikuwa si rahisi kutoka kwenye tv, hivi bado production inaendelea?
 
Samurai jack [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..!! Jaman hii cartoon ya kikuda sana
 
Nakumbuka 2007 ndio nilianza kuangalia avatar the last airbender kwenye channel ya nickelodeon baada ya kupata StarTimes kipindi hicho now ile ndio maana ya cartoon. na ile Dora the Explorer yeah I used to watch that.
Vilevile kuna Penguin of Madagascar wale jamaa mpaka leo nawakumbuka majina rico private kowalski na mkuu wao skipper.

Holy hell bado kuna SpongeBob Squarepants na his best friend Patrick star, mpenda pesa mr crab huyu mzee ana describe asilimia 90% ya wanajf kwamba money first money is sacred.
Pia kuna sandy, squidward na villain mkubwa wa krabby patty secret formula, plankton na ile computer yake nimeisahau jina. na ile movie yao mpya nimesahau kucheck I gotta watch it.
Bado kidogo niiache Teenager Mutants Ninja Turtles hii nilikuwa naikubali kupitiliza, napenda sana mambo ya ninjas bila kusahau Ben 10.

Lakini Tom And Jerry siku zote ndio itakuwa one of the best nilikuwa na DVD zake nyingi sana mpaka nahisi episode zake zote nilishaziona. Good old times.
Damn! I'm getting old.
 
Kina chonishangaza katuni za Tom na Jerry, mafundi wao, Wana sayansi wao, wezi wao, majambazi wao.
Walimu wao, wanafunzi wao, madereva wao n.k.

Yaani fani zote wanaziweza.
Ile ya Tom na demu ndo huwa inaniacha hoi wanavyogombania demu na masela wake😂😂😂 jerry mtu kavu sana 😂😂😂
 
Haraka haraka majina ya William hanna, fred quimby na nani sijui barbera yamekuja kichwani nilikuwa si rahisi kutoka kwenye tv, hivi bado production inaendelea?
Fred Quimby alivuta hanna and babera wakaendeleza kidogo ndio zikaja za genie ditch. Za mwisho hazikuwa nzuri sana
 
Back
Top Bottom