Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Naona Sasa hivi hata kigogo hana kipyaInawezekana mvujishaji ameondolewa kwenye panga pangua, au timu ya uvujishaji imekuwa wamiliki wa taarifa..
Au mvujishaji ndiye kakalia Kigogo!Inawezekana mvujishaji ameondolewa kwenye panga pangua, au timu ya uvujishaji imekuwa wamiliki wa taarifa..
Bwana yule kwa sasa anatapatapa tu, Mother kafunga milango, hana jipya tena. Kwa sasa anadandia dandia kila kitu kilichopo mbele yake, naona kaamua akimbilie kwenye mpira sasa.Eti bwana yule kasema mkeka wa ma RC unasukwa upya. ngoja tuone.
kuna ukweli nao hapaIko hivi idara ya usalama ukiwazengua taarifa lazima zivuje ila ukifanya nao kazi kwa kuomba ushauri taarifa zako watazitunza.
Anatafta teuzi huyu cyo bure...!!Hivi namba ya simu hua unaiweka ya nn???
Namba ya simu ya nini sasa?1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia...
Kwa hiyo number ya simu ya nini hapa, au unataka hela ya chai?1. Mpaka saa Hakuna Mvujo wa Taarifa za Serikali. Hakuna anayeweza kunusa kabisa nini kinaweza kutokea. Zimebaki kuwa confidential kwa asilimia...