Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ita kusaidia nini?
Polepole alisema zimeenda kwenye matumizi mengineyo.1.5 trillion ipo wapi kwanza?
Aliwakamua mafisadi akawagawia wananchi maskini.una swali jingine?
Kwa vile wewe genius ng'amua Sasa!Ndipo akili zako zilipoishia au umeweka akiba zingine?
Mfuko wa RaisNi vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Hajakuuliza wewe bwana shetani, wewe katafute mashetani wenzako.... Hii hoja imeelekezwa kwa great thinkers only...Ita kusaidia nini?
Kuna hela nje ya hazina hiyo hata cag haruhusiwi kuuliza yaani ni mfuko maalumu na Rais tuu ndie mwenye mamlaka ya kuichukua.Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani.
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1.Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2.Zilitoka CCM makao makuu?
3.Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, Kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?.
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Hivi yukogo wapiMagufuli alikuwa MWIZI na MWONGO tu. Ila alitumia sana uzwazwa wa Watanzania kuwaita wanyonge na kwamba yeye alikuwa ndiye mtetezi wake.