Mimi siishi milele wala Mimi si lolote, ila yeye alipania mabaya sana kwa nchi yetu. Wewe unaibaje uchaguzi wote wa 2020 na kuweka wabunge vibaraka wako??. Ndiyo maana Mungu kamchomoa mapema asituharibie zaidiKwahiyo Mungu ndiye alimuua? Na wewe utaishi milele si ndiyo?
Milioni 50 mara milioni moja ni milioni 50? Mbunge wa wapi huyo?Polepole alisema zimeenda kwenye matumizi mengineyo.
Halafu mbunge mmoja alisema milioni 50 zingetosha kugawa milioni 1 kwa kila Mtanzania kwani tuko milioni 50.
Kwani PGO inasemaje?Wanafiki tu hao! Eti CCM Leo hii ndio wanahimiza chanjo? Wanalaaana
Mtu ajitafutie fedha huku wewe umebweteka kisha umuite fisadi? Hizi fikra za kilumumba hizi? Shida kwelikweli.Aliwakamua mafisadi akawagawia wananchi maskini.una swali jingine?
Umelazimishwa kucomment?Kwani PGO inasemaje?
NdiyoUmelazimishwa kucomment?
Unajua kwanini Asad alitimuliwa kazi?Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2. Zilitoka CCM makao makuu?
3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Mijitu mingne sijui ni michoko!!!Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2. Zilitoka CCM makao makuu?
3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Assad bila shaka si mwana CCM.Unajua kwanini Asad alitimuliwa kazi?
Ndo hizo alizochota zingine akawa anagawa Kama mwehu1.5 trillion ipo wapi kwanza?
Sio kama mwehu, ni mwehuNdo hizo alizochota zingine akawa anagawa Kama mwehu
Kweli Kama zile za ESCROW,EPA.Mtu ajitafutie fedha huku wewe umebweteka kisha umuite fisadi? Hizi fikra za kilumumba hizi? Shida kwelikweli.
Wewe uwezi msemea sababu nimesha ona picha aliyo Weka kwenye profil kama ninyi wa Tanzania amuoni umuimu wake Kuna wenzenu uko inje ya Tanzania wana muita shujaa Na sio kama alivyo Fanya magufuli avikuonekana vinaonekana ila sema tu mnakuwa wanafikiMagufuli alikuwa MWIZI na MWONGO tu. Ila alitumia sana uzwazwa wa Watanzania kuwaita wanyonge na kwamba yeye alikuwa ndiye mtetezi wao.
Embu taja hiyo sheria iliyounda huo Mfuko wa unaomwezesha rais kugawagawa fedha hovyoMfuko wa raisi/
Presidential Fund
jaribu kufanya research kabla ya kukurupuka ukaonyesha ujinga
huo mfuko unaundwa kwa sheria maalum