Yaani niende google na YouTube kutafuta utumbo wa Magufuli wakati akiwa anaharibu nilikuwa namuona!! Huo nao ni upimbiWewe uwezi msemea sababu nimesha ona picha aliyo Weka kwenye profil kama ninyi wa Tanzania amuoni umuimu wake Kuna wenzenu uko inje ya Tanzania wana muita shujaa Na sio kama alivyo Fanya magufuli avikuonekana vinaonekana ila sema tu mnakuwa wanafiki
Just go on youtube or Google Search Tanzanie economie to 2005 till 2015 muone mlipo kuwa ana alipo wafikisha magufuli
Izi ni baadhi ya comment za wafaransa Sasa wewe ni Nani ukose kumsifu ok Any way nabii akubaliki kwao View attachment 1969872
Fisadi Lile zeeLazima wapo wanaojua zilikotoka
Zee la kudibua mihela ya wanyonge huku wanyonge wenyewe wakimshangiliaHizi ni miongoni mwa zile dola milioni 42 alizozitaja Lissu ?🐒
Volt 20Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2. Zilitoka CCM makao makuu?
3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Magufuli hakurusu ujinga design yoyote wahuni lzm mmchukie.na nchi ilikuwa inasongaFisadi Lile zee
Jibu hojaMagufuli hakurusu ujinga design yoyote wahuni lzm mmchukie.na nchi ilikuwa inasonga
Magufuli amefariki,ungekuwa na akili ungeuliza kwa waliopo hai hela wanazonunulia magoli kwa vilabu vya simba na yanga huwa wanatoa wapi ? ukipata jibu basi pia utapata jibu la swali uliloulizaS
Swali liko palepale, hizo hela alizokuwa anagawa alizitoa wapi? Mbowe tumeshajua alipozitoa michango ya wabunge kama ambavyo uvccm mmekuwa mkiimba kila siku bila ushahidi?
Hiyo ni kwamjibu wa taarifa za CAG au habari za kuokoteza kwenye vijiwe vya kahawa?.Bora Magufuli alizigawa kwa watu wenye dhiki na shida mbali mbali. Lkn kuna huyu mwenyekiti wetu pichani, yeye alichukua michango waliochanga wabunge wake miaka 5, jumlisha na michango tuliochanga katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu akaenda kutumia na familia yake Dubai huku akiacha chama hakina akiba ya ndani. Na wengi wamezibwa midomo wasihoji, maana ukihoji ataku Chacha Wangwe haraka iwezekanavyo.
View attachment 1964241
Za saa100 za kununua magoli ya yanga zinatoka wapiNi vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani
Je, zile fedha zilikuwa zikitoka mfuko gani?
1. Zilitoka katika mshahara na posho za Rais?
2. Zilitoka CCM makao makuu?
3. Zilitoka katika mfuko au akaunti ya Ikulu?
4. Zilitoka B.O.T, kama zilitoka benki kuu zilitoka kwa kanuni ipi?
Je, kwa miaka 5 na miezi kadhaa ya uongozi wa Magufuli jumla ya shilingi ngapi za Kitanzania Magufuli alizigawa majukwaani?
Nyumbani kwake kulikutwa dola mil 42 , kuna maswali tena hapo ?Ni vyema CCM ikalinda heshima yake kwa kutuambia sisi wananchi kuhusu fedha alizokuwa anazigawa Magufuli majukwaani