Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

Aliwakosea nini hawa wenyeviti wa chadema wa mikoa, hata asiwepo hata moja wao tu kumuuunga mkono Kibaraka kwenye nafasi ya mwenyekiti wa Taifa?

Nimemskia mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya, kwa dharau sana akihoji kwamba, mtu ambae hana uhakika hata na usalama wake tu, ndio apewe uenyekiti wa chadema Taifa kweli?

Akikimbilia ubeligiji nani ataongoza chama?

Aliendelea kumshutumu Kibaraka, kwa kuzusha kwamba viongozi wa chadema wamechaguliwa kwa rushwa.

My friends, ladies and gentlemen,

Kauli ya Kibaraka kudai kwamba viongozi wapya wa chadema, wa wilaya, mikoa na kanda mbalimbali wamechaguliwa kwa rushwa, ndio inaweza kua sababu ya kuchukiwa na kutokuungwa mkono na wenyeviti wa kanda na mikoa? au kuna sababu nyingine?🐒

Mungu Ibariki Tanazania
Kama Lisu ni KIbaraka,je CHADEMA ni chama cha Vibaraka hadi chama kikamuamini KBARAKA na kumpa nafasi ya umakamu mwenyekiti tena ngazi ya Taifa,au wakati CHADEMA wanampa Lisu nafasi hawakuwa na akili ?
Na kama Lisu anazushia viongozi wa CHADEMA, ni lini CHADEMA itakiri kuwa yote ambayo Lisu amewahi kusema juu ya Serikali ilikuwa ni uzushi ?
Huu wakati ni wakati wa CHADEMA kuzalisha hoja laini sana na za kukidharaulisha chama.
Ni bora kunyama tu
 
Sure,
mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya ameweka wazi sana juu ya hilo gentleman,

kwamba jamaa hana uhakika hata na usalama wake tu ndio apewe uenyekiti? akikimbilia ubeligiji itakuaje?🐒
Mbowe alikmblia Dubai mbona
 
Kama Lisu ni KIbaraka,je CHADEMA ni chama cha Vibaraka hadi chama kikamuamini KBARAKA na kumpa nafasi ya umakamu mwenyekiti tena ngazi ya Taifa,au wakati CHADEMA wanampa Lisu nafasi hawakuwa na akili ?
Na kama Lisu anazushia viongozi wa CHADEMA, ni lini CHADEMA itakiri kuwa yote ambayo Lisu amewahi kusema juu ya Serikali ilikuwa ni uzushi ?
Huu wakati ni wakati wa CHADEMA kuzalisha hoja laini sana na za kukidharaulisha chama.
Ni bora kunyama tu
Lissu ana mashaka na usalama wake mlimchaguaje kuwa makamu wa Mwenyekiti na Mgombea Urais. Masaga Hoja dhaifu sana hiyo.
 
Lissu ana mashaka na usalama wake mlimchaguaje kuwa makamu wa Mwenyekiti na Mgombea Urais. Masaga Hoja dhaifu sana hiyo.
baada ya kuunga mkono ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba, hiyo ilitosha kuamini kwamba huyo ni kuwadi na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao kwao ufirauni ni haki,

Sasa huyu kibaraka wao anaetaka uenyekiti wa taifa chadema hiyo ndio kazi yake ya kwanza ataifanya chadema kwa niaba ya hao WANAOMBACKUP.

Vijana wa chadema baada ya mwaka moja watajikuta wanaoana wao kwa wao kwa ufadhili wa huyo kibaraka 🐒
 
Kwani hao wenyeviti wa Kanda Wana kura zaidi ya moja? Nilichogundua wengi wao hawasikilizi walio chini Yao, wananchi tunataka lissu
Sema unamtaka sio tunamtaka!! Binafsi kwa hulka na tabia alizoonesha Lissu japo nilitokea kumpenda sana lakini kwa sasa hapana!!
 
Huko Dodoma mwenyekiti kapendekeza jina la ancestor kuwa makamu mwenyekiti bara.

Wajumbe wote wamenuna, maana alipoambiwa simama waliona fossils tu.
Kudadadaki hii comment nimeifanyia lamination na nimefungulia mwaka 2025.
 
  • Kicheko
Reactions: G4N
Hivi hao wanachama/wananchi wanaokusanyana kutoa maoni yao kuwataka wajumbe kumchagua Lissu, nani anayeratibu makusanyiko yao na nani anayewagharamia kulipa waandishi wa habari? Anachokifanya Lissu ni kushinikiza wajumbe kumpigia kura yeye kwa kutumia wahuni ambao wengine si wanachadema.
Wahuni eeh? Sawa ngoja ashinde Mbowe ndio utaona madhara yake oktoba. Yaani hakuna mjinga ataenda mkutano wa chadema au kuipigia kura. Itageuka CUF
 
Back
Top Bottom