Mpaka sasa, hakuna mwenyekiti wa kanda au mkoa wa CHADEMA anaemuunga mkono Tundu Lisu kua mwenyekiti wa CHADEMA taifa, kulikoni?

Kama Lisu ni KIbaraka,je CHADEMA ni chama cha Vibaraka hadi chama kikamuamini KBARAKA na kumpa nafasi ya umakamu mwenyekiti tena ngazi ya Taifa,au wakati CHADEMA wanampa Lisu nafasi hawakuwa na akili ?
Na kama Lisu anazushia viongozi wa CHADEMA, ni lini CHADEMA itakiri kuwa yote ambayo Lisu amewahi kusema juu ya Serikali ilikuwa ni uzushi ?
Huu wakati ni wakati wa CHADEMA kuzalisha hoja laini sana na za kukidharaulisha chama.
Ni bora kunyama tu
 
Sure,
mwenyekiti wa chadema mkoa wa Mbeya ameweka wazi sana juu ya hilo gentleman,

kwamba jamaa hana uhakika hata na usalama wake tu ndio apewe uenyekiti? akikimbilia ubeligiji itakuaje?πŸ’
Mbowe alikmblia Dubai mbona
 
Lissu ana mashaka na usalama wake mlimchaguaje kuwa makamu wa Mwenyekiti na Mgombea Urais. Masaga Hoja dhaifu sana hiyo.
 
Lissu ana mashaka na usalama wake mlimchaguaje kuwa makamu wa Mwenyekiti na Mgombea Urais. Masaga Hoja dhaifu sana hiyo.
baada ya kuunga mkono ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba, hiyo ilitosha kuamini kwamba huyo ni kuwadi na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi ambao kwao ufirauni ni haki,

Sasa huyu kibaraka wao anaetaka uenyekiti wa taifa chadema hiyo ndio kazi yake ya kwanza ataifanya chadema kwa niaba ya hao WANAOMBACKUP.

Vijana wa chadema baada ya mwaka moja watajikuta wanaoana wao kwa wao kwa ufadhili wa huyo kibaraka πŸ’
 
Kwani hao wenyeviti wa Kanda Wana kura zaidi ya moja? Nilichogundua wengi wao hawasikilizi walio chini Yao, wananchi tunataka lissu
Sema unamtaka sio tunamtaka!! Binafsi kwa hulka na tabia alizoonesha Lissu japo nilitokea kumpenda sana lakini kwa sasa hapana!!
 
Huko Dodoma mwenyekiti kapendekeza jina la ancestor kuwa makamu mwenyekiti bara.

Wajumbe wote wamenuna, maana alipoambiwa simama waliona fossils tu.
Kudadadaki hii comment nimeifanyia lamination na nimefungulia mwaka 2025.
 
Reactions: G4N
Wahuni eeh? Sawa ngoja ashinde Mbowe ndio utaona madhara yake oktoba. Yaani hakuna mjinga ataenda mkutano wa chadema au kuipigia kura. Itageuka CUF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…