Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu salam,
Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi.
Edga Mwakabela (Sativa)
Tulitegemea kuwe na uwajibikaji kutoka kwenye vyombo vya usalama kwa Muliro, IGP na hata Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni, na hata kwenye Hifadhi ya Katavi alipopatikana, sababu jambo hili si tu linatishia usalama wa nchi bali hata kimataifa inatoa picha mbaya, na Tanzania kuonekana si salama hata kwa wageni kuja kuja kutembea.
Uwajibikaji uko wapi? Wananchi tuelewe vipi kama vyombo vya usalama vinavyotakiwa kuhakikisha usalama wetu vipo kimya hata baada ya kuhusiwa kuhusika? Kwanini hawaji ku-clear the air?
Nini kinaendelea?
====
Pia soma:
~ Waziri wa Mambo ya Ndani: Tukio la anayesemekana alitekwa (SATIVA) uchunguzi unaendelea
~ ANGALIZO: Usimuache ndugu yako aondoke peke yake na watu wanaojitambulisha kama polisi