Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
HUENDA WANAJUA KINACHOENDELEA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu salam,
Naamini wote mpaka sasa tufahamu kuhusu suala la Sativa kutekwa mpaka kupatikana jana akiwa ameteswa sana, pamoja na maelezo yake ya awali kwa polisi.
Tulitegemea kuwe na uwajibikaji kutoka kwenye vyombo vya usalama kwa Muliro, IGP na hata Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni, na hata kwenye Hifadhi ya Katavi alipopatikana, sababu jambo hili si tu linatishia usalama wa nchi bali hata kimataifa inatoa picha mbaya, na Tanzania kuonekana si salama hata kwa wageni kuja kuja kutembea.
Uwajibikaji uko wapi? Wananchi tuelewe vipi kama vyombo vya usalama vinavyotakiwa kuhakikisha usalama wetu vipo kimya hata baada ya kuhusiwa kuhusika? Kwanini hawaji ku-clear the air?
Nini kinaendelea?
====
Pia soma: ANGALIZO: Usimuache ndugu yako aondoke peke yake na watu wanaojitambulisha kama polisi
ni muhimu akaripoti kituo cha polisi. kuripoti mtandaoni na kwenye vyombo vya habari sidhani inatosha na kama ndio utaratibu 🐒Wakuu salam,

Ni kati ya wakosoaji wakuu wa uozo ndani ya serikali na baadhi ya wakuu wa Serikali kuoitia mtandao wa X.Kuuliza sio Ujinga,
Sisi wakazi wa Ibologelo, Nata, Igogo, malendi, ulemo, iguguno shamba, kizonzo, jojo, sipongwe, chombe, chumvi, chokaa, santilya, Galula, kapunga , isamgawana, mtanila, mafyeko , mbawe, Sakukwa, sangambi, kiwanja, Chalangwa. Kwani huyo Sativa ni nani na anajihusisha na nini?.
Historia yake walau kidogo
Wanatekeleza waliyoambiwa na bi Kidude kuhusu tweeter (X)Nini kinaendelea?