Ni sawa na kusema it is morally right kuingia mkataba na shetani ilimradi ushinde.
Kuna mipaka sio lazima ushinde at any cost. Isitoshe chama makini duniani akiwezi kutaka kuhusishwa na watu wanaogawa moral opinion za jamii zao.
Mfano nchi za mabeberu kuna vikundi vya kibaguzi kibao wenye supporters wengi na pengine kuna wanasiasa wa vyama vikubwa wabaguzi kwa siri lakini kamwe awawezi kushirikiana na vikundi vya kibaguzi kisa wana wafuasi wakuwapa kura aileti picha nzuri kwenye jamii.
Leo tu huko US wamejitokeza former senior security advisors 73 na kusema wao watatoa support kwa Joe Biden. Siasa za Trump ni hatari kwa jamii na nchi yao.
View attachment 1543541
Baadhi ya vigogo wa usalama waliojitokeza kumpinga Trump na wana website yao kabisa
Daring Fireball
View attachment 1543543
Chama kikubwa kinatakiwa kuwa mfano kwa kuto support watu walaghai sio Gwajima tu yeyote na wengine wote controversial. Safu ya CCM juu kwenye ili wameonyesha ni political amateurs.