Uchaguzi 2020 Mpaka sasa Halima Mdee ameshashinda Jimbo la Kawe, Dar-es-Salaam

Lisu amewahi kusema mangapi na clip zake zipo mbona anasonga mbele?

Kwa jinsi CCM walivyokamia kulichukua jimbo, utashangaa Gwajima anashinda asubuhi ya saa mbili na sijui utajiua au utafanyaje. Jifunzeni kuweka hakiba ya maneno.
 
Ile nafasi ya ubunge kupitia bawacha itabidi iwe reserved for Halima Mdee!

Though kumbe nasikia itategemea na mwandamo wa mwezi.

Maana yake ni kwamba iwapo CDM itaweza kupata viti vingi na kupata sifa ya kuendelea kuwa chama kikuu cha upinzani kama ilivyo sasa ndipo hizo nafasi za viti maalum zitakuwepo kinyume na hapo haitawezekana!

Sasa Halima sijui atakuwa mgeni wa nani?!
 
Ungesema sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…