Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
Wana jf!
Mimi sina mengi
Aisee kuna madogo huko shuleni, wamekuwa wakiniomba hizi aftatu tatu nyngi nyingi mno! Kwa visingizio mara mwl wa tuition, mara mpishi, daftari, mchango wa nini na nk nk!
Baada ya kuona imekuwa too much, nikafuatilia!
Kumbe nao ni wazee wa kubeti!! huu mchezo umetrend mashulen mpaka vyuoni, na haujawahi kumuacha mtu salama!
Kwenye vyombo vya habali, matangazo ya bikosports, sportpesa n.k naona yanapita kwa zamu
Je, jamii inalichukuliaje hili?