Mpaka sasa hili suala la betting, jamii inalitazamaje?

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,841
Wana jf!
Mimi sina mengi

Aisee kuna madogo huko shuleni, wamekuwa wakiniomba hizi aftatu tatu nyngi nyingi mno! Kwa visingizio mara mwl wa tuition, mara mpishi, daftari, mchango wa nini na nk nk!

Baada ya kuona imekuwa too much, nikafuatilia!

Kumbe nao ni wazee wa kubeti!! huu mchezo umetrend mashulen mpaka vyuoni, na haujawahi kumuacha mtu salama!

Kwenye vyombo vya habali, matangazo ya bikosports, sportpesa n.k naona yanapita kwa zamu

Je, jamii inalichukuliaje hili?
 
Wana jf!
mm sina mengi

USIONGEE SANA EBU SHIKENI CODE IYO YA BETPAWA MECHI ZINAANZA MUDA SI MREFU👇

C4B2718
 
Mjomba betting ni moja ya njia ya kutengeneza pesa kuna matajiri wanabeti hadi $1M wanapiga hadi $10M kwa siku kupitia match fixing
 
HAAA mkuu umetishaa sanaah mapema mnoo
Pesa iyo jamaa hajui kwenye betting kuna pesa, ye haoni sportpesa wanadhamini Yanga na singida, hajui kwa nini matajiri wanakimbilia kumiliki timu za mpira 😀😀
 
Wakuu nimesoma maoni yenu.
tajiri ni kampuni husika, lakini wewe ndg yangu mchezaji ni sehemu ya mtaji wao!
je, umeshafanya nini kupitia hyo betings?
 
Wana jf!
Mimi sina mengi

Aisee kuna madogo huko shuleni, wamekuwa wakiniomba hizi aftatu tatu nyngi nyingi mno! Kwa visingizio mara mwl wa tuition, mara mpishi, daftari, mchango wa nini na nk nk!

Baada ya kuona imekuwa too much, nikafuatilia!

Kumbe nao ni wazee wa kubeti!! huu mchezo umetrend mashulen mpaka vyuoni, na haujawahi kumuacha mtu salama!

Kwenye vyombo vya habali, matangazo ya bikosports, sportpesa n.k naona yanapita kwa zamu

Je, jamii inalichukuliaje hili?
Kesho mpe Simba Win against Ruvu uweke mtaji wa kutosha tu utanishukuru baadae
 
Tatizo lenu hamna bahati ndo maana hamuwez ona umuhimu wa betting ila cheza kwa akili hutaskia kuliwa hela bila mipango tamaa zinawaponza unaweka 500 unataka upate 100k inaingia akilini kweli
 
Umeshafanya nini kupitia betting?
 
Back
Top Bottom