Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
USIONGEE SANA EBU SHIKENI CODE IYO YA BETPAWA MECHI ZINAANZA MUDA SI MREFU👇Wana jf!
mm sina mengi
Aisee kuna madogo huko shuleni, wamekuwa wakiniomba hizi aftatu tatu nyngi nyingi mno! Kwa visingizio mara mwl wa tuition, mara mpishi, daftari, mchango wa nini na nk nk!
Baada ya kuona imekuwa too much, nikafuatilia!
Kumbe nao ni wazee wa kubeti!! huu mchezo umetrend mashulen mpaka vyuoni, na haujawahi kumuacha mtu salama!
Kwenye vyombo vya habali, matangazo ya bikosports, sportpesa n.k naona yanapita kwa zamu
Je, jamii inalichukuliaje hili?
HAAA mkuu umetishaa sanaah mapema mnooUSIONGEE SANA EBU SHIKENI CODE IYO YA BETPAWA MECHI ZINAANZA MUDA SI MREFU👇
C4B2718
Pesa iyo jamaa hajui kwenye betting kuna pesa, ye haoni sportpesa wanadhamini Yanga na singida, hajui kwa nini matajiri wanakimbilia kumiliki timu za mpira 😀😀HAAA mkuu umetishaa sanaah mapema mnoo
Mjomba betting ni moja ya njia ya kutengeneza pesa kuna matajiri wanabeti hadi $1M wanapiga hadi $10M kwa siku kupitia match fixing
Pesa iyo jamaa hajui kwenye betting kuna pesa, ye haoni sportpesa wanadhamini Yanga na singida, hajui kwa nini matajiri wanakimbilia kumiliki timu za mpira
Kesho mpe Simba Win against Ruvu uweke mtaji wa kutosha tu utanishukuru baadaeWana jf!
Mimi sina mengi
Aisee kuna madogo huko shuleni, wamekuwa wakiniomba hizi aftatu tatu nyngi nyingi mno! Kwa visingizio mara mwl wa tuition, mara mpishi, daftari, mchango wa nini na nk nk!
Baada ya kuona imekuwa too much, nikafuatilia!
Kumbe nao ni wazee wa kubeti!! huu mchezo umetrend mashulen mpaka vyuoni, na haujawahi kumuacha mtu salama!
Kwenye vyombo vya habali, matangazo ya bikosports, sportpesa n.k naona yanapita kwa zamu
Je, jamii inalichukuliaje hili?
Kwa buku unatoa elfu 38 napta naOUSIONGEE SANA EBU SHIKENI CODE IYO YA BETPAWA MECHI ZINAANZA MUDA SI MREFU👇
C4B2718
Mchezo wa kipumbavu sana!(hata kama wanafanya na waheshmiwa)Kwa kwel betting ni hatar haifai
Umeshafanya nini kupitia betting?Tatizo lenu hamna bahati ndo maana hamuwez ona umuhimu wa betting ila cheza kwa akili hutaskia kuliwa hela bila mipango tamaa zinawaponza unaweka 500 unataka upate 100k inaingia akilini kweli