Mpaka sasa hivi sina mwaliko wa sikukuu.

Mpaka sasa hivi sina mwaliko wa sikukuu.

Hellow guys.
Ndugu zangu kutoka bara, [emoji144]
Kwa moyo wa unyenyekevu naombeni mwaliko wa sikukuu ya Christmas. [emoji120][emoji120][emoji120].
Tarehe 20 natoka Zanzibar kuelekea Dar es salam.
Nategemea kupata mialiko ya kutosha na nitahudhuria yote.
Shukran[emoji119][emoji119]
Christmas imepita ila kama bado upo bongo nyorosha mpaka Msata kilingeni nakusubiri kwa hamu kubwa sana

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom