Mpaka Sasa IMF Wanatudai Trilioni 3 na Bilioni 400 (3,400,000,000,000)

inchaji

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2019
Posts
2,671
Reaction score
5,476
Nchi kadhaa barani Afrika zinaomba msaada wa kifedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), misaada inayoambatana na masharti magumu ya kisera yanayoathiri maamuzi ya kiuchumi na uhuru wa nchi husika.

Kwa mujibu wa Businness Insider Africa katika orodha Misri inaongoza kuwa na deni kubwa huku Tanzania tukidaiwa dola 1, 335, 730, 000 sawa na Trilioni 3.4 kwa fedha za Tanzania

​
 
na bado nilimsikia samuya anatafuta namna ya kuwashawishi waongezewe hizo bado hazitoshi wakajenge vyuo zanzibar
 

Wenyewe wanadai bado tunakopesheka. Tatizo ni pale wanapokopa ili kununua Mashangingi na MaVEighty yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…