Mpaka sasa katika VPL; Takwimu zinaongea.

[emoji35] duuh! Kitaa kimeshachafuka..!!
Ngoja leo mpigwe, alafu tuone kama mtaendeleza hizo kelele zenu
Nyie msimu huu mlizidi nyodo mlikiwa na midomo mirefu km treni za Kigoma
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Na sasa takwimu zikoje baada ya kutoka Mbeya?
 
Sembo inabidi uje ufanye masahihisho penye uzi wako pana mambo yamebadilika
 
Leta takwimu za hivi karibuni
 
Sijui mtani kapatwa na nini! si kawaida yake kupotea hivi "mtani njoo walau tujue afya yako unatuweka mashakani haya mambo ya michezo yapo tu "
 
Wazee wa takwimu tayari wamejipiga ban

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hao wanatembelea upepo...

Bwana sembo umepotelea wapi mkuu... Usikimbie kama msimu uliopita

Sembo inabidi uje ufanye masahihisho penye uzi wako pana mambo yamebadilika

sembo ni kwamba hautaki kwenda na mabadiliko au na wewe hujalibiwi??

Eneo korofi

Sijui mtani kapatwa na nini! si kawaida yake kupotea hivi "mtani njoo walau tujue afya yako unatuweka mashakani haya mambo ya michezo yapo tu "
wakuu mambo yamekua mengi sana sasa hivi.. ila tupo pamoja sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…