mbuzi wa mshenga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 209
- 337
Nakumbuka huyu mzee aliwahi kusema mala kadhaa pale bungeni kuwa itafika mahali hakuta kuwa na chama cha upinzani kitachokuwa na wabunge, madiwani na hata wenye viti wa vitongoji na watabaki CCM
Watupu bado watanyosheana vidole na hata kugombana wenyewe kwa wenyewe,Na hiki ndicho kinachotokea sasa katika siasa za Tanzania inatuonesha kweli mzee bwege alikuwa mbele ya muda na bado wanasiasa na watanzania walishindwa kumuelewa wakimuona kama comedian