Pre GE2025 Mpaka sasa mdomo wa Nape umeshafukuzisha kazi vigogo saba serikalini, wengine wanafuata

Pre GE2025 Mpaka sasa mdomo wa Nape umeshafukuzisha kazi vigogo saba serikalini, wengine wanafuata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Chunga sana ulimi wako.

Mdomo huumba

Maneno yakishatamkwa
hayarudi tena mdomoni.

Ulimi hauna mfupa

Mdomo uliponza kichwa.

Mdomo kiwanda cha maneno

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mdomo wa mjinga kaburi

Ongezea na wewe..

Mpaka sasa vigogo saba wateule wa Rais akiwamo waziri Byabato na wengine waneshakabidhi na V8 LC 300 sababu ya mdomo wa mtu mmoja

Familia saba ziko zinamlaani mtu fulani kwa mdomo wake

Bado kuna juniors nao watafuata huenda watafika 50
 
Hii inaitwa domo koma
 
Ila mfumo wa kuandaa viongozi ndio una shida....hata yule wa Arusha naye ndio takataka kabisa. Nchimbi aangalie idara ya mafunzo, na wakumbushwe wao kama wanachama, chama ni kikubwa kwao, na nchi ni kubwa kwao.
 
Mathayo 15:11
Kitu kinachomtia mtu unajisi si kile kiingiacho kinywani, bali kile kitokacho kinywani. Hicho ndicho kimtiacho mtu unajisi.”

Muhenga aliye buni maandishi ya kwenye vitabu vya dini alikuwa mwamba kweli kweli, katisha.
Ujumbe unaishi ktk uhalisia maelfu ya miaka.
 
Watu wataanza kumuepuka kama ukoma. Pengine na bungeni watamtenga.
Ha ha haaa
Jamaa ana mdomo mchafu Sana.
Ropo ropo... kumbuka matusi yake kipindi ameteuliwa baada ya kufa Magufuli.
Kumbuka kauli za kumshambulia Humphrey Polepole na kuita watu viroboto.
Kumbuka goli la mkono.
Hekima imempita kando hachagui kauli gani atoe mahali gani na kwa wakati muafaka.
 
Familia saba ziko zinamlaani mtu fulani kwa mdomo wake
Mkumbusheni Bibi Chura km sababu ni kusifu na kuabudu utenguzi waliosifu na kuabudu alietenguliwa walikua watano kwanini katengua watatu alafu wawili kawaacha anawaogopa?
 
Chunga sana ulimi wako.

Mdomo huumba

Maneno yakishatamkwa
hayarudi tena mdomoni.

Ulimi hauna mfupa

Mdomo uliponza kichwa.

Mdomo kiwanda cha maneno

Pia soma: Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Mdomo wa mjinga kaburi

Ongezea na wewe..

Mpaka sasa vigogo saba wateule wa Rais akiwamo waziri Byabato na wengine waneshakabidhi na V8 LC 300 sababu ya mdomo wa mtu mmoja

Familia saba ziko zinamlaani mtu fulani kwa mdomo wake

Bado kuna juniors nao watafuata huenda watafika 50
Atajifunaje mara ingine
 
Back
Top Bottom