Mpaka sasa Najiona Nishakata tamaa kabisa ya kuo

Duuhhh
 
Usikate tamaa ya kuoa mdogo wangu..wewe ukioa jitahidi uwe bandidu wanawake sio wa kucheka nao 😝😝Yaan hakikisha mkeo hakuelewi..Ukishindwa utanitafuta nikuunganishe na mmja kati ya kaka zangu akupe muongozo .Mwanaume hutakiwi kuwa soft soft halafu ndoa burudan sana japo kwenye hili sina uhakika
 
Huyu jamaa ni Kabudi, nilimuacha Shybush ananilindia shamba la viazi vitamu, ila nilimkopea simu kwa Watu Simu. Naona sasa ameamua kujikita na mitandao ya kijamii. Nikikuta mfuma zangu zimekauka utanieleza
 
Usi kute huyo Kaka ndie mleta uzi 😂🤣
 
Ishi na mwanamke,zaa watoto,Jenga makazi!wape mahitaji ya msingi huku ukiwapa room ya ku fight ndoto zao!
Akikuzingua anzisha tabia mpya,ukimya sio makelele tafuta mpenzi TU was nje na yeye aendelee na Alie nae!maisha yasonge,Kila mmoja abebe hatma yake!!

Ukijifanya yesu au mtume kwenye mahusiano watakuchezea hai viumbe hadi utakufa Kwa msongo!!

Using'ang'anie mahusiano mambo yanapoharibika mkuu!utajuta sana Tena sana!!ishi mwenyewe empty your mind usinwazie mtu uliekutana name ukubwani kana kwamba bila yeye maisha yako yatasimama!!

Mara nyingi Huwa najivunia kuona watoto Wana kwao hasta kama haparidhishi ndio kwao,mengine watatafuta vya kwao!!
Usi complicate life!ACHA kabisa!!
 
Usikate tamaa mkuu wake zao sio mke wako
 
Endelea kukua ukikua hayo hutoyawazia sana ukubwa sio Ndevu Ndevu ni mapambo tu na urembo kwa hio km wewe mrembo fuga Ndevu uwe na Madevu
 
Mdogo angu mmoja mwanajeshi alipokuja ku learn late about what happened to me, alinambia neno kuwa "braza nashukuru mimi sio wewe, mimi saa hii ningekua jela"😂
 
Tafuta pesa kwanza ndiyo uoe

Hii nimeichukua Asante Sana mkuu nimepata mwanga
 
Endelea kukua ukikua hayo hutoyawazia sana ukubwa sio Ndevu Ndevu ni mapambo tu na urembo kwa hio km wewe mrembo fuga Ndevu uwe na Madevu
Unamaanisha kuwa Kuna vitu vingine ndio nitavipa airtime Sana🧐
 
🤣🤣🤣 Naomba nifafanulie vizuri hii
 
Huyu jamaa ni Kabudi, nilimuacha Shybush ananilindia shamba la viazi vitamu, ila nilimkopea simu kwa Watu Simu. Naona sasa ameamua kujikita na mitandao ya kijamii. Nikikuta mfuma zangu zimekauka utanieleza
🤣🤣Nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…