Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #181
Daaah mkuu ila bado mda upo..Ile week ya kwanza ya mahusiano ndio ulitakiwa umgonge,
Ngoja mpaka nipige kwanza na uzri taleta mrejesho hapa..Mkaushie tafuta demu mwingine
Wakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Sawa sawa mkuu tajaribu inshaallah....Utaelewa vizuri siku una watoto naye 2 na she doesn’t care, achana naye, Kama ujaoa analeta stress hizo, imagine una watoto naye 2 na ndoa ya Miaka 7
Japo mambo sio rahisi kama unavyozaniaUtaelewa vizuri siku una watoto naye 2 na she doesn’t care, achana naye, Kama ujaoa analeta stress hizo, imagine una watoto naye 2 na ndoa ya Miaka 7
Hata Kiswahili ni shida!Ujaelewq kwani
Sijaribu aseeeeJichanganye nikujutishe
uuuwweeeh hebu rudia tena ili nimalizie kupanga nguo beg la mwsho nije hukoNakupenda nakupenda nakupenda nakupenda mama
Mkuu show kaliPambana na ujenzi tu mkuu ....usimzingatie.
I love yuuuuuuwweeeh hebu rudia tena ili nimalizie kupanga nguo beg la mwsho nije huko
Umekula mchele mbichi weweHata Kiswahili ni shida!
Ujaelewa❌
Hujaelewa✔️
Nilishafuta homemateFuta bana... We wa nyumbani si vema kufanya hvi hh
Nifungulie mlangoI love yuuu
Mkuu mbona umeniita mimi ZEE LA NYETI..?[QUOTE =
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
/QUOTE]
Huyo keshakupima kakuona unamtetemo kwake man(HIYO KITU MBAYA MAN) , Nenda kawe player tu MAN unaogopa nini mtoto wa kiume!! Tena utapata buyu moja limejaa asali tamu sana ya nyuki wadogo ila isisahau CONDOMS MAN, PLAY SAFE FOR HER AND SELF LOVE, Na ukimaliza njoo utupe Feedback kwasababu confidence utakayokuwa umeipata ITAMMALIZA SANA MZEE NIAMINI MIMI ZEE LA NYETI!!
Mlango upo wazi..Nifungulie mlango
Nateseka sasa...Achana na mapenzi yasije kukuua mdogo wangu
TuoneHela sio tatizo mkuu kuna mda natuma mpaka mwenyewe anasema mbona pesa nyingi