Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Wakuu habari za humu ndani...

Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.

Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.

Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...

Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...

Utaelewa vizuri siku una watoto naye 2 na she doesn’t care, achana naye, Kama ujaoa analeta stress hizo, imagine una watoto naye 2 na ndoa ya Miaka 7
 
[QUOTE =
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
/QUOTE]
Huyo keshakupima kakuona unamtetemo kwake man(HIYO KITU MBAYA MAN) , Nenda kawe player tu MAN unaogopa nini mtoto wa kiume!! Tena utapata buyu moja limejaa asali tamu sana ya nyuki wadogo ila isisahau CONDOMS MAN, PLAY SAFE FOR HER AND SELF LOVE, Na ukimaliza njoo utupe Feedback kwasababu confidence utakayokuwa umeipata ITAMMALIZA SANA MZEE NIAMINI MIMI ZEE LA NYETI!!
 
Mkuu mbona umeniita mimi ZEE LA NYETI..?

Kuhusu kutafuta mwingine nimeahidi tafanya hivo ila mpaka nimfukunyue kwanza
 
Achana na mapenzi yasije kukuua mdogo wangu
Nateseka sasa...
Nafanya nn ili nimpuuze japo kuna huyu mmoja ananikubali ila mimi daah simwelewi kabisa hata nikisema ni focus nae nashindwa...

Serious am gonna to be crazy
 
Back
Top Bottom