Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Kweli ile jamii mwanaume usipokuwa makini unatawaliwa
Lakini Mkuu, kwa hali ya namna hiyo si utakuwa unatumia nguvu kubwa sana ili kumtuliza? Vurugu kila wiki?!

Au umeamua kuwa poa kwamba hakuna namna ngoja niishi naye vivyo hivyo?
 
Kama anakupotezea na wewe mpotezee, simple. K zipo nyingi mno .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…