Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Natafuta pumziko jipya sawq lakini ishu inakuja...
Ni ngumu sana kumtengeneza mtu aendane na wewe...
Niliwekeza kwa huyu mtu aiseee hapa nawaza hata nikianza na mwingine mpya je atakua kama yule

Natafuta pumziko jipya sawq lakini ishu inakuja...
Ni ngumu sana kumtengeneza mtu aendane na wewe...
Niliwekeza kwa huyu mtu aiseee hapa nawaza hata nikianza na mwingine mpya je atakua kama yule
Mungu ni mwema huenda fungu lako bado
 
They always dont care
 
Baada ya muda kabadilika na mda amebadilika baada ya mm kuwa bize na masomo
Wanawake wanapenda mtu ambaye yupo active hata kama upo busy kiasi gani kwasababu wakati wewe upo busy kuna mwamba anafosi bibie aingie kingi. Kwa upande wangu hata niwe busy kiasi gani manzi wangu lazima niwe namjulia hali, message namtumia na wakati mwingine nampa taarifa kabisa kabla kama nikiingia kwenye ubusy mfano mzuri kuna wakati nilimwambia Mwezi fulani nitakuwa busy mno so naomba ukiona nimechelewa kukujibu message au sijakutafuta kipindi hicho chote please usiumie nitakuwa kwenye harakati zangu na always wewe utabaki kuwa kwenye akili na kwenye moyo wangu hauwezi ukafutika. Pamoja na busy nilikuwa napitia demu alinielewa na mambo yalivyokaa sawa bado akawa loyal kwangu. Mwanamke unatakiwa uishi nae kwa akili mjue mtu wako vizuri ili ujue unaishi nae vipi
 
Daaah mkuu umeongea kitu sahihi sana..
Kuna watu walisema na mimi nijifanye kuwa busy aaaaah nikawa najichoma bana..

Its oky sasa najaribu kumuweka busy lakini kinachotokea ni kuwa usipo mcheki ndo basi imeisha hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…