ababy
Member
- Sep 23, 2024
- 29
- 29
Natafuta pumziko jipya sawq lakini ishu inakuja...
Ni ngumu sana kumtengeneza mtu aendane na wewe...
Niliwekeza kwa huyu mtu aiseee hapa nawaza hata nikianza na mwingine mpya je atakua kama yule
Mungu ni mwema huenda fungu lako badoNatafuta pumziko jipya sawq lakini ishu inakuja...