Falah sana huyo jamaaThis is bullshit M.f. wewe ni SIMP. Unamshauri vipi mwanaume mwenzio aende kulia machozi kwa mwanamke.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Falah sana huyo jamaaThis is bullshit M.f. wewe ni SIMP. Unamshauri vipi mwanaume mwenzio aende kulia machozi kwa mwanamke.?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 aaaaah
Hakutaki mpotezee au kama huwezi tafuta pisi kali kuliko yeye hakikisha ameijua, hata km ni kwa kuikodi tu umuonyeshe kuwa na wewe unao uwezo wa kumiliki demu mkali kumliko, atajileta kiulaini sanaWakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
Heh wewe😆😆😆🙌🏾🤣Hakutaki mpotezee au kama huwezi tafuta pisi kali kuliko yeye hakikisha ameijua, hata km ni kwa kuikodi tu umuonyeshe kuwa na wewe unao uwezo wa kumiliki demu mkali kumliko, atajileta kiulaini sana
Mbinu konki hiyoHeh wewe😆😆😆🙌🏾🤣
ShkamooMbinu konki hiyo
Marahabaa mtoto mzuri mzuriShkamoo
🤝🤝Hakutaki mpotezee au kama huwezi tafuta pisi kali kuliko yeye hakikisha ameijua, hata km ni kwa kuikodi tu umuonyeshe kuwa na wewe unao uwezo wa kumiliki demu mkali kumliko, atajileta kiulaini sana
Ushauri huu unawafaa zaidi vijana (wavulana) hasa ambao hawana majukumu wala hawapo busy katika utafutaji.Pole sana Mkuu
Ipo ivi mwanzo alikuwa anakujali sana na kukupa kipaombele Yani ulikuwa kama green light kwake kwa Kila jambo ambalo alitegemea kufanya au kukufanyia lakini baada ya kufanya yote ayo bado ukujali Wala kuthamini ivyo akajitaid sana kukuelewesha na kukusamehe ukuweza kutega sikio na kukubari makosa Yako ivyo ikafika wakati ukatengeneza usugu wa kutokujali ndani ya moyo wake ndio maana Kila kitu ukifanya yeye anaona ni sawa tuu ata kama ukikosea au ukipatia mbaya zaidi umebadirika kwenye kipindi ambacho mwenzako ayupo tayari kukupa attention kama zamani lakini sio kama akupendi hapana anakupenda sema tuu ameamua ajiweke pembeni maana alijitoa kama Sargent akiwe mstari wa mbele vitani lkn Amna alicho kipata
Sasa Mimi nakushauri Fanya ivi
1. Una sababu ya kuwa play boy maana utajiumiza mwenyewe tuu na kupata Magonjwa ambayo ya tagharimu maisha Yako
2. Mwanamke huwa anasamehe lkn asahau ivyo anza kumpenda kana kwamba unamuona Leo ukifanya ivyo ndani ya mwezi Kila kitu kitakuwa poa
3. Usiache kumtafuta na kumjulia hali tena ongeza Kasi kama internet ya Star Link
4. Usiwe na mawazo hasi juu yake maana unaweza ukazani anachepuka kumbe mwenzio yupo clean kabisa
5. Kaa nae chini Kisha muombe msamaha kama Kuna sehemu ulimkosea
Hata sijui ila kulilia mbunye ni za kiboya.Sasa kama amekuja kulia uku na akuna ambacho ataambulia zaidi ya kuambiwa kamba manzi yake inajamaa mwingine uko njee ni bora kukubari makosa nakusahisha kuliko kujifanya kichwa ngumu ukapoteza Kisha ukapoteana
Anyway ulikuwa ni ushauri na sio Sheria Mkuu yeye ndio anajua nini alifanya mpaka bidada akawa ivyo
Ubatili mtupu!Falah sana huyo jamaa
Shtuka kaka hutakiwi hapo, she has checked out emotionalyWakuu habari za humu ndani...
Mpaka sasa najiuliza why she don't care... Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa.
Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...
She doesn't care,they don't care, educate yourself on the issue of don't and doesn't,they and she/he or it.Wakuu habari za humu ndani...
za why she don't care... mwa washauri hapa...
Why she don't care,
najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible...