Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
sasa nitatembeaje kuringishia watu mifupa yanguNtakuvunja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa nitatembeaje kuringishia watu mifupa yanguNtakuvunja
Mkuu hali ni tete nimejaribu kukaza nisimtafute lakini naona nimeshindwa anPole sana Mkuu
Ipo ivi mwanzo alikuwa anakujali sana na kukupa kipaombele Yani ulikuwa kama green light kwake kwa Kila jambo ambalo alitegemea kufanya au kukufanyia lakini baada ya kufanya yote ayo bado ukujali Wala kuthamini ivyo akajitaid sana kukuelewesha na kukusamehe ukuweza kutega sikio na kukubari makosa Yako ivyo ikafika wakati ukatengeneza usugu wa kutokujali ndani ya moyo wake ndio maana Kila kitu ukifanya yeye anaona ni sawa tuu ata kama ukikosea au ukipatia mbaya zaidi umebadirika kwenye kipindi ambacho mwenzako ayupo tayari kukupa attention kama zamani lakini sio kama akupendi hapana anakupenda sema tuu ameamua ajiweke pembeni maana alijitoa kama Sargent akiwe mstari wa mbele vitani lkn Amna alicho kipata
Sasa Mimi nakushauri Fanya ivi
1. Una sababu ya kuwa play boy maana utajiumiza mwenyewe tuu na kupata Magonjwa ambayo ya tagharimu maisha Yako
2. Mwanamke huwa anasamehe lkn asahau ivyo anza kumpenda kana kwamba unamuona Leo ukifanya ivyo ndani ya mwezi Kila kitu kitakuwa poa
3. Usiache kumtafuta na kumjulia hali tena ongeza Kasi kama internet ya Star Link
4. Usiwe na mawazo hasi juu yake maana unaweza ukazani anachepuka kumbe mwenzio yupo clean kabisa
5. Kaa nae chini Kisha muombe msamaha kama Kuna sehemu ulimkosea
Hivi hizi hela wanawake ni za kupewa tu ili wao wafurahie halafu watupe stress...kwa nini asitafute zake na mimi za kwangu halfu tukikutana tuzitumie wote tufurahi....! Au wao ndio wanatakiwa kufurahi peke yao.Huko kujitoa kwenyewe usikute ni kutuma masms kila muda.
Hela unampa!?
Stupidity at its HIGHESTPole sana Mkuu
Ipo ivi mwanzo alikuwa anakujali sana na kukupa kipaombele Yani ulikuwa kama green light kwake kwa Kila jambo ambalo alitegemea kufanya au kukufanyia lakini baada ya kufanya yote ayo bado ukujali Wala kuthamini ivyo akajitaid sana kukuelewesha na kukusamehe ukuweza kutega sikio na kukubari makosa Yako ivyo ikafika wakati ukatengeneza usugu wa kutokujali ndani ya moyo wake ndio maana Kila kitu ukifanya yeye anaona ni sawa tuu ata kama ukikosea au ukipatia mbaya zaidi umebadirika kwenye kipindi ambacho mwenzako ayupo tayari kukupa attention kama zamani lakini sio kama akupendi hapana anakupenda sema tuu ameamua ajiweke pembeni maana alijitoa kama Sargent akiwe mstari wa mbele vitani lkn Amna alicho kipata
Sasa Mimi nakushauri Fanya ivi
1. Una sababu ya kuwa play boy maana utajiumiza mwenyewe tuu na kupata Magonjwa ambayo ya tagharimu maisha Yako
2. Mwanamke huwa anasamehe lkn asahau ivyo anza kumpenda kana kwamba unamuona Leo ukifanya ivyo ndani ya mwezi Kila kitu kitakuwa poa
3. Usiache kumtafuta na kumjulia hali tena ongeza Kasi kama internet ya Star Link
4. Usiwe na mawazo hasi juu yake maana unaweza ukazani anachepuka kumbe mwenzio yupo clean kabisa
5. Kaa nae chini Kisha muombe msamaha kama Kuna sehemu ulimkosea
Kama unalijua hilo kwanini uwaze kufanya hvyo.sasa nitatembeaje kuringishia watu mifupa yangu
Sirudii kuwaza ivo tenaKama unalijua hilo kwanini uwaze kufanya hvyo.
HowMichezo hyo na wewe jifunze kuicheza
Alikua ananienda mnoooMambo ya Kupenda Usikopendwa
Nyumbani wapu mkuuHebu mlete nyumbani hapa,nimkanye
I didn't understand mkuuThe wage of simp is dust.
Change or perish.
Mtoto ujamboHii kitu niko mbioni kwenda kuifanya,🥲 nimeongea hadi kuchoka wacha nmpe actions sasa.
Hela sio tatizo mkuu kuna mda natuma mpaka mwenyewe anasema mbona pesa nyingiHela unampa?
Mkuu mimi sijalia ujue..This is bullshit M.f. wewe ni SIMP. Unamshauri vipi mwanaume mwenzio aende kulia machozi kwa mwanamke.?
Au sioSahihisho: She doesn't!
Umefanana nae ujue..Utafutwe kwani umepotea?
Sjambo shkamoo,,vipi umemrudsha kwenye mfumoMtoto ujambo