Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Mpaka sasa najiuliza why she doesn’t care

Duuh mbona dry hivo
Ok, huyo mwanamke hana hisia na ww hakupendi na huwezi kumlazimisha akupende. Cha muhimu ni kumuacha kwa namna utayoona inafaa utafute atakayekupenda. Kumbuka mwanamke akipenda kweli lazima akujari n.k.
Aya hapa nimejitahidi kuongea non_dry.
 
Kwahiyo kinachokuumiza ni vitu vyako ila si kwamba umefall?
Siku ya kumla niite hawezi kukusumbua hivi
Ku fall nime fall normal tuu na nataka ku mshape awe mama la mama ila sasa naona kwa comment hzi daaah wananichanganya kweli kweli an
 
Ok, huyo mwanamke hana hisia na ww hakupendi na huwezi kumlazimisha akupende. Cha muhimu ni kumuacha kwa namna utayoona inafaa utafute atakayekupenda. Kumbuka mwanamke akipenda kweli lazima akujari n.k.
Aya hapa nimejitahidi kuongea non_dry.

Kumbuka mwanamke akipenda kweli lazima akujari n.k....
.

ASANTE HII NIMEIPENDA JAPO NI NGUMU KUMEZA NGOJA NIJITAHIDI KUTAFUTA....
Yaani naongea hapa jasho jembamba lanitoka kwa hayo uliyo ongea
 
Hamna mama la Mama humo acha kujijaza matumaini we kinachokuuma ni kuliwa hela zako na k hujapewa basi
Hapana pesa sijaliwa za kutosha seriously ila ndo hivo tu..
Ile kuumizwa aiseee..

Hvi sijui unaelewa nachopitia,, unatuma sms kumu inajibiwa moja tena kinyonge na hapo najitoa sana sana an
 
Back
Top Bottom