kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Kama keshakupa papuchi unahangaika nae wa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwezi mkuu...
Bichwa bayakwani mnalazimishwa kuandika kiingereza? she don't care is grammatically wrong. it should be she doesn't care. kama hamjui kingereza tumieni lugha mnayoifahamu.
Wee si mchawiMwanaume kulia lia kwa vitu vidogo kama hivi ni udhaifu .li mtu lisi nitafute niumie roho seriouse
Ajanipa bado ndo mana nabembelezaKama keshakupa papuchi unahangaika nae wa nini?
Why doesn't she care?I don't know. 🤔Wakuu habari za humu ndani.
Mpaka sasa najiuliza why she don't care. Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa. Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa.
Why she don't care, najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible.
Hata mimi sielewi kwann ananifanyia hvi sijui ananipima au anafanya kusudi ila ajue fika namwandalia kitu kizito atokuja sahauWhy doesn't she care?I don't know. 🤔
Ukiachwa achikaPole sana Mkuu
Ipo ivi mwanzo alikuwa anakujali sana na kukupa kipaombele Yani ulikuwa kama green light kwake kwa Kila jambo ambalo alitegemea kufanya au kukufanyia lakini baada ya kufanya yote ayo bado ukujali Wala kuthamini ivyo akajitaid sana kukuelewesha na kukusamehe ukuweza kutega sikio na kukubari makosa Yako ivyo ikafika wakati ukatengeneza usugu wa kutokujali ndani ya moyo wake ndio maana Kila kitu ukifanya yeye anaona ni sawa tuu ata kama ukikosea au ukipatia mbaya zaidi umebadirika kwenye kipindi ambacho mwenzako ayupo tayari kukupa attention kama zamani lakini sio kama akupendi hapana anakupenda sema tuu ameamua ajiweke pembeni maana alijitoa kama Sargent akiwe mstari wa mbele vitani lkn Amna alicho kipata
Sasa Mimi nakushauri Fanya ivi
1. Una sababu ya kuwa play boy maana utajiumiza mwenyewe tuu na kupata Magonjwa ambayo ya tagharimu maisha Yako
2. Mwanamke huwa anasamehe lkn asahau ivyo anza kumpenda kana kwamba unamuona Leo ukifanya ivyo ndani ya mwezi Kila kitu kitakuwa poa
3. Usiache kumtafuta na kumjulia hali tena ongeza Kasi kama internet ya Star Link
4. Usiwe na mawazo hasi juu yake maana unaweza ukazani anachepuka kumbe mwenzio yupo clean kabisa
5. Kaa nae chini Kisha muombe msamaha kama Kuna sehemu ulimkosea
Mkuu bado ajaniacha...Ukiachwa achika
Hili ni janga suguMambo ya Kupenda Usikopendwa
Mkuu wanawake NI Kama mavi ya ngombe ukiyaona nje Kama yamekauka jichanganye sasa utie mguuWakuu habari za humu ndani.
Mpaka sasa najiuliza why she don't care. Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa.
Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa. Hana time na wewe.
Kapeace naomba uwe miongoni mwa washauri hapa.
Why she don't care, najitoa sana kwake lakini she don't care...
🙌🙌🙌🙌🙌 She turn me into play boy soon as possible.
Ahahahaha daaah nimecheka sana aiseeeeeMkuu wanawake NI Kama mavi ya ngombe ukiyaona nje Kama yamekauka jichanganye sasa utie mguu
Ombea lisikupateHili ni janga sugu
Mkuu usicheke ndo uhalisia huoAhahahaha daaah nimecheka sana aiseeeee
AminaOmbea lisikupate
Ulichelewa wapi?Ajanipa bado ndo mana nabembeleza
Maumivu hayaepukiki mkuu. Ukiona mwanamke anakupuuza ujue upendo kwishaMkuu bado ajaniacha...
Mkuu jaribu kuwa na maneno yasiyoumiza mtu
Kwa nini umejipa jina baya?Mpe nafasi nawe ukae mbali.
Muda utasema asiposhtuka ujue hakuwa wako.
Watendee kama wao wanavyokutendea.