Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Polepole akipata hiyo kesi atafurahi sana maana ataona mmempa anachotafuta.Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.
Kamanda wa mbowe hembu toa ilo gwanda hapoKwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.
Uhaini ni vitendo sio maneno matupu.Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.
CCM chama cha majambaziKwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.
Kuanzisha theead namna hii kwa kutumia verified ID uwe makini sana hatuitaji uchawaKwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.
Na endapo muujiza huu hautatokea Polepole ataishia ama ataishi kwa shida sana yeye na ukoo wake miaka 5 ijayo.Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.
Kwa jinsi ambavyo nimemfuatilia Ndugu Polepole na kwa jinsi mambo ya kiCCM yanavyoendeshwa ni dhahiri siku wakimkamata ana kesi nzito ya Uchochezi na akikaa vibaya wanambandika Uhaini akapumzike Segerea hadi 2030.
Polepole ana option moja tu kupambana hadi muujiza anaouamini utokee otherwise asubiri kusujudia watu kwa ajili ya mustakabali wake.
Ni kweli watanzania ni watu wa kuridhika sanaPole pole mpaka ameamua kuacha ubalozi amezingatia hayo yote na anajua pia ni ngumu kutokea kwa nature ya Tanzania na wananchi kwa ujumla
Tatizo watanzania wengi hawana purpose yoyote kwenye maisha yake akijitahidi sana kumaliki gari na nyumba ameona amemaliza kila kitu
Hii inapelekea ukiwa na malengo tofouti wanakushangaa na kukuona umekosea sana
Msiba wa mamaUhaini wa mama