Kwa akili kama hizi na mitazamo ya aina hii watanzania tutaendelea kukamliwa mpaka mwisho wa dahari. Mtu anayefanya hayo yote maana yake kajitoa, liwalo na liwe. Ilibidi uhai wake!! Mtu kaacha ugali dagaa kaamua alivyoamua, unamlipa??
Hayo aliyoongea hata akiishia hapo, wapo kenge walionufaika nayo. Na kaulizwa mara nyingi tu kuhusu Usalama wake ikiwa ni pamoja na hayo unayosema wewe. Mara zote anasema hana wasi wasi na wanaopanga kufanya hivyo wasijaribu. Unaweza kusema ni vitisho vyake tuuu, hayo Mimi sijui nasema anachosema.
Mtu wa aina hii kajiandaa kwa namna yoyote ile, na naamini Bado Kuna series zitaendelea, tusubiri tuone.