Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Hooooo....mi niliogopa sana hyo business na bdo sijashawishika....sasa sjui nianzeeeeeee......!!!!??
 
dhaa mimi niliunguza account kizembe sana nili kuwa napata faida tu sasa kuna soko moja lilikuwa la huakika sasa emotion ndo ilizidi kuamini na doble pesa nikajikuta dollar 400 imekuwa dolla 20 na hatimaye kuwa dollar 0.9 hadi sasa nasikilizia mtaji nirudi tena.
 
Dah kweli vyuma vimekaza...hizi habari za forex zilikuwa hazivumi enzi za mkwere
 
Uzi wako na lengo wale wanaopoteza pesa kila siku wasiwe na wasiwasi watakuja kuzirudisha huko mbeleni..

Sawa umesikika mkuu
 
The best n simple exchange is nunua goods kwa bei ndogo nenda kaiuze kwa bei ya juu zaid upate faida,..hii ni zaid ya forex,simpo,mfano,nunua nanasi kwa 1000,kauze kwa 1500,in bulky si unapiga hela nying,hapo akili utayotumia ni ya darasa la pili,hahahahah,...mnahangaikaaaaa
 
ila sasa elimu lazima kijana
 
Uzi wako na lengo wale wanaopoteza pesa kila siku wasiwe na wasiwasi watakuja kuzirudisha huko mbeleni..

Sawa umesikika mkuu
Kwanini umefikiria hivyo mkuu? Hivi unaijua biashara yenyewe inafanywaje?

Ipo hivi. Mimi sipati faida wala hasara yoyote kwa watu kuujua au kuto kuijua hii biashara.

Alafu lengo langu wala halikua kwa wale wasioijua hii biashara. Lengo langu ni kwa wanaoifanya hii biashara. Na lengo lenyewe lilikua ni kushare experience za biashara hii. Mimi naamini kwa kupitia jf, nitajifunza mengi
 
Dah kweli vyuma vimekaza...hizi habari za forex zilikuwa hazivumi enzi za mkwere

Dah kweli vyuma vilikaza (enzi za kikwete)...Maana uuzwaji wa dawa za kulevya tulikuwa hatuusikii sana enzi za mkapa.
 
Kila biashara haipo kwaajiri ya kila mtu.
Hata forex haipo kwaajiri ya kila mtu. Ulimwengu unabadilika mkuu. Teknolojia inakua. Hivi ni nani alifikiria kutumia simu ya mkononi kwa vizazi vya huku kwetu Africa miaka ya 1980?

Hivi unadhani kila mtu angeenda shambani, leo hii mngeendesha magari?
 
Hehehehe Join date 4th July.. Kuna account zingine kama nne ambazo zimejoin July kuanzia 3 to 5 ambazo kazi yenu kubwa ni kuwamotivate watu kwenye hiyo biashara..

Mungu anawaona mjue..

Not everything is for everybody. if it ain't for you, then keep it cool.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…