Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Kwanini unapoteza muda kuongea kitu usichokijua? Forex sio kwa kila mtu halafu Forex ni Biashara huru unafanya mwenyewe ukilose ni wewe hakuna wakumlaumu, Ontario binafsi namuombea kila la kheri ametufungua macho...kwangu Mimi Forex is only my hope kama unaweza kupata faida USD 50! In just few hours niambie ni Biashara gani unaweza kuifanya ikakulipa kiasi hicho, losses is just part of the game!!
 
Mkuu Mr Mose uko forex kwa muda gani sasa? Kuna jambo ningeomba ufafanuzi
 
Sasa ontario anapata nini akishashawishi wana jf?
 
Huu umaskini unaongeza tamaa! My friends hakuna "easy money" popote pale Duniani! Daima easy money ina risks kubwa sana. Kwa hiyo ni sawa na kucheza kamari! Lakini kwa hilo la forex utakaa sana ukisubiria hiyo bingo!
 
Forex ni investment sio kamari, forex ni carrier unaanza kuwa begginer baadaye ukikomaa unakuwa pro mtazamo wako kuihusu forex hauwezi kubadili ukweli, no easy money icho nakubaliana na wewe hata vitabu vya forex vingi vinatahadharisha kwamba forex is not a get rich quick scheme
 
Tujiulize tu! Investment of USD300 itakunufaishaje? Kwa kununua na kuuza pesa! Mbona tunadanganyana sana jamani.
 
Karibia miezi minne mpaka sasa kama unaswali karibu
Mkuu inabidi unipe shule maana ndiyo naanza anza. Jana niliona watu humu wakijadili kuhusu ku trade wakati wa matangazo muhimu kama NFP ikitoka au hata nchi fulani ikiwa na jambo la dharura kwenye zile nchi muhimu.
 
Tujiulize tu! Investment of USD300 itakunufaishaje? Kwa kununua na kuuza pesa! Mbona tunadanganyana sana jamani.
Kuwa mpole kuwa positive utaelewa, USD 300 inakuwa leveraged ukiimanage vizuri ndani ya mwezi inaweza kufika USD 1000 ukitaka kujua kitu ni bora kuwa naïve kuliko kujifanya unajua
 
Mkuu inabidi unipe shule maana ndiyo naanza anza. Jana niliona watu humu wakijadili kuhusu ku trade wakati wa matangazo muhimu kama NFP ikitoka au hata nchi fulani ikiwa na jambo la dharura kwenye zile nchi muhimu.
Sawà lakni inabidi usome kwanza vitabu ili tuwe tunaongea lugha moja hizo zinaitwa fundamental news unaweza kula bingo au ukachoma account yako kwasababu huwa zinamove market kwa speed ya rocket
 
Tuombe Mungu baada ya miezi 3 kuanzia leo uje utuelezee ulichovuna! Tatizo lenu ni kushawishi watu waingie kabla hata wewe mwenyewe hujafanikiwa. Hizo terminologies sio pesa! Mitandao ina mambo mengi sana! Ila waTz ni wazuri sana kuwatapeli! Wanaamini kila kitu haraka haraka!
 
Hahhaaaa....mmerudi tena kinyumenyume!

Hivi kwanini mnakua manipulative namna hii?

Bunch of parasites!
 
Hakuna utapeli Mkuu ni real business kupata hasara ni sehemu ya Biashara mm sishawishi MTU ukiingia au usipoingia mimi sifaidik na chochote
 
Hapa usitudanganye. Unachofanya ni kuwashawishi watu wajiunge huko. Hivi kama kuna mipesa hiyo mingi nje nje kwa nini mnatumia nguvu nyingi kutushawishi ma Laggards?
Ekizakitili.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hapa usitudanganye. Unachofanya ni kuwashawishi watu wajiunge huko. Hivi kama kuna mipesa hiyo mingi nje nje kwa nini mnatumia nguvu nyingi kutushawishi ma Laggards?
jaribu na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…