Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Sawà lakni inabidi usome kwanza vitabu ili tuwe tunaongea lugha moja hizo zinaitwa fundamental news unaweza kula bingo au ukachoma account yako kwasababu huwa zinamove market kwa speed ya rocket
Poa mkuu, naomba unielekeze vitabu ambavyo unaamini vitanisaidia kuelewa hii biashara ndani ya muda mfupi. Asante
 
good
 
Haina shaka mkuu.

Pia inakubidi uelewe kuwa niliqnza kutrade bila kushawishiwa na mtu. Pia nimeanzisha uzi huu kwa utashi wangu ili kupeana ujuzi na wazoefu wa hii biashara. Ndio maana nikaelezea niliyojifunza baada ya kupoteza hizo $300. Kama nisingefanya hayo makosa, maana yake ningepata faida. Kwa upande wangu naona ni mwanzo mzuri

Pia mwishoni nikamalizia kwa kusema hiyo $300 niliyoipoteza sio hasara. Bali ni gharama za kujifunza forex. Ni sawa na ada mashuleni.

Amini nakuambia, baada ya miezi mitatu nitarudi hapa kuweka ushuhuda mwingine.

La mwisho ni kwamba. Naamini hakuna biashara isiyo na changamoto. Ndio maana unaona maduka kkoo yanafungwa na watu wanarudisha frame. Hii ni sababu tosha kuniaminisha kuwa hakuna biashara isiyo na changamoto.

Huwa nina kawaida ya kusimamia ninachokiamini. Kama nisimamiavyo kuwa hakuna kitu kinaitwa Mungu. Huwa siyumbi na kufuata mkumbo. Huwa mnatumia upeo wangu kuchanganua. Ndio maana ukirudi kwenye Uzi wangu, nimesema sikuwahi kusoma kitabu hata kimoja
 
Tujiulize tu! Investment of USD300 itakunufaishaje? Kwa kununua na kuuza pesa! Mbona tunadanganyana sana jamani.
we upo dunia ya kwanza mkuu pole tena hiyo ulioitaja ndo niliyo anza nayo saiv mbalii
 

Forext Training haikuanza leo...Imeanza tangu OKTOBA mwaka jana (2017) na training zimefanyika kwenye zaidi ya mikoa 5 ...

mpaka leo hii sijaona mwana jF yeyote aliye wahi kuhudhuria hizo training akaja humu na kuanzisha uzi kuhusu kutapeliwa, kudhurumiwa au kuibiwa . Zingatia kuwa more than 500 jf user have been through hizi training unazoziita zina kitu nyuma ya pazia.
 
Mkuu unaweza kunisaidia soft copy ya hivyo vitabu?
 
Hivyo ulivyojifunza ndo ambavyo niliktana navyo napofanya research zangu juu ya Forex ila sikuwa na mtaji
 
Hongera kwa hatua uliyofikia. Mimi pia nilichoma account mbili toka nianze kufanya forex november 2017 jumla 350$ sababu huwa ni zilezile kwa watu wote kwa kuvunja kanuni za forex, na hii inatokana na kutamani kupiga pesa ndefu upate faida mara mbili au tatu ya mtaji. Toka hapo nikasoma tena vitabu na kufuatilia sana tabia za market zilivo...hivi sasa angalau nimeweza kuanza kujua siri za forex kwa mtaji wangu wa dola 100, hivi sasa nisharudisha 350$ na karibu kila siku Mungu anasaidia naingiza 30$ kwa capital ya dola 100. But sishauri mtu aipapatukie forex utaumia sana.
coz of its nature yakuhusisha psychology trading asilimia nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…