Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu, naomba unielekeze vitabu ambavyo unaamini vitanisaidia kuelewa hii biashara ndani ya muda mfupi. AsanteSawà lakni inabidi usome kwanza vitabu ili tuwe tunaongea lugha moja hizo zinaitwa fundamental news unaweza kula bingo au ukachoma account yako kwasababu huwa zinamove market kwa speed ya rocket
sio kamari ile wewe ,hasara inapata nchi ambayo currency yake imedrop byvalue and not traders ,unapoona mtu kapata loss its all about kutokujua principals za kutradeHuo ndio ukweli
goodKwanini unapoteza muda kuongea kitu usichokijua? Forex sio kwa kila mtu halafu Forex ni Biashara huru unafanya mwenyewe ukilose ni wewe hakuna wakumlaumu, Ontario binafsi namuombea kila la kheri ametufungua macho...kwangu Mimi Forex is only my hope kama unaweza kupata faida USD 50! In just few hours niambie ni Biashara gani unaweza kuifanya ikakulipa kiasi hicho, losses is just part of the game!!
Haina shaka mkuu.Tuombe Mungu baada ya miezi 3 kuanzia leo uje utuelezee ulichovuna! Tatizo lenu ni kushawishi watu waingie kabla hata wewe mwenyewe hujafanikiwa. Hizo terminologies sio pesa! Mitandao ina mambo mengi sana! Ila waTz ni wazuri sana kuwatapeli! Wanaamini kila kitu haraka haraka!
we upo dunia ya kwanza mkuu pole tena hiyo ulioitaja ndo niliyo anza nayo saiv mbaliiTujiulize tu! Investment of USD300 itakunufaishaje? Kwa kununua na kuuza pesa! Mbona tunadanganyana sana jamani.
nimeshasoma sana mkuu... pointi yangu ni kwamba kuna nguvu kubwa sana inatumika kwamba hii unapiga pesa nje nje, sio kiivo kama watu wanavodanganywa... halafu kwa nn inatumika nguvu kubwa sana kuwaaminisha lazima upige hela... ? cheki hizo ada zinazotozwa sasa ili ufundishwe,, kuna kitu nyuma ya pazia watu watakuja kulia humu huku jamaa na genge lake washapiga hela kiulaini kabisa ... time will tell
Myahudii up bado kwenye lile group la Dodoma??Usd 300 unafungua thread??
Myahudii up bado kwenye lile group la Dodoma??
Mkuu unaweza kunisaidia soft copy ya hivyo vitabu?Ain't a Mentor.
I am just a learner, i am mean i'm a novice guy in this industry.
By the way, i am done with the following books:=
1. Naked Forex.
2. Forex bible
3. Astro Forex
4.The ultimate price action trading...
And right now i'm doing "Japanese canlestick charting teqniqes"
I am not that much financially well to pay for training seminars but i do hope to start treding without attend trading seminars coz i beleive i can make it. I am so determined to the exent that only death will terminate my krinkokasha.
MBONA unafungua postion nyingi hivyoDo not hate be inspiredView attachment 671101 View attachment 671103
yani ilo kosa sitokaa nilirudie, untill niwe real guru, bila ya ivyo utaona read line on your trading platformMBONA unafungua postion nyingi hivyo