Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Nasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha.
Hivi sasa hakuna binadamu ambaye anafurahishwa na maandiko ya vitabu vitakatifu na unapojaribu kumweleza mtu kuwa wewe ni mcha mungu basi atakuona mpuuzi na usiye na akili timamu, mnyonge mnyongeni haki yake mpatieni ukweli ni kuwa watu wamechoka na habari za vitabu vitakatifu ndio maana kila kukicha tunasikia matukio yaliyo kinyume na maagizo ya vitabu vitakatifu.