Wamechoka dini ila sio ucha Mungu, watu wanatenda haki kuliko wanavyotenda dhambi, na wamegundua dini ni scam ila haki iko moyoni mwa kila mmoja wetu na ndo maana hata uwe mzinzi vipi huwezi zini na kichanga na hata uwe mbnafsi vipi huwezi acha mzika binadamu mwenzako akifa hivyo Mungu anatuwezesha kutenda haki mioni mwetu hata kama hatufatishi ya diniNasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha.
Hivi sasa hakuna binadamu ambaye anafurahishwa na maandiko ya vitabu vitakatifu na unapojaribu kumweleza mtu kuwa wewe ni mcha mungu basi atakuona mpuuzi na usiye na akili timamu, mnyonge mnyongeni haki yake mpatieni ukweli ni kuwa watu wamechoka na habari za vitabu vitakatifu ndio maana kila kukicha tunasikia matukio yaliyo kinyume na maagizo ya vitabu vitakatifu.
Una uhakika watu hawazini na vichanga mkuu? Au unaongea tu.Wamechoka dini ila sio ucha Mungu, watu wanatenda haki kuliko wanavyotenda dhambi, na wamegundua dini ni scam ila haki iko moyoni mwa kila mmoja wetu na ndo maana hata uwe mzinzi vipi huwezi zini na kichanga na hata uwe mbnafsi vipi huwezi acha mzika binadamu mwenzako akifa hivyo Mungu anatuwezesha kutenda haki mioni mwetu hata kama hatufatishi ya dini
Shetani ndio naniNasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha.
Hivi sasa hakuna binadamu ambaye anafurahishwa na maandiko ya vitabu vitakatifu na unapojaribu kumweleza mtu kuwa wewe ni mcha mungu basi atakuona mpuuzi na usiye na akili timamu, mnyonge mnyongeni haki yake mpatieni ukweli ni kuwa watu wamechoka na habari za vitabu vitakatifu ndio maana kila kukicha tunasikia matukio yaliyo kinyume na maagizo ya vitabu vitakatifu.
Ipo cku utaelewa ya kuwa Mungu yupo! Nayo i jaribu,ukitaka kuwa salama mwamini na kumwomba msamaha maana hujifunua kwa namna tofauti kutegemea na ugumu wa moyo wa huyo mtu ktk kumwaminTatizo huyo shetani ni fiction tu wala hajawahi kuwepo na huyo mungu wa kwenye vitabu ni utapeli tu
Ha! Wewe bado hatufikii!Sodom na Gomorrah ni cha mtoto kwa yanayo fanywa siku hizi duniani
ukianza na neno ipo siku hapo unageuka kuwa sheikh yahaya mtabiri(utakufa na hiyo siku haifiki ng'o), na pia nionyeshe sehemu nimesema Mungu hayupo,ila huyo wa kwenye vitabu ni utapeli na mtazidi kutapeliwa hadi mkomeIpo cku utaelewa ya kuwa Mungu yupo! Nayo i jaribu,ukitaka kuwa salama mwamini na kumwomba msamaha maana hujifunua kwa namna tofauti kutegemea na ugumu wa moyo wa huyo mtu ktk kumwamin
Si kweli, wewe ni muhongo, watakatifu wapo na wahaminifu mbele ya Mungu wao.Nasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha.
Hivi sasa hakuna binadamu ambaye anafurahishwa na maandiko ya vitabu vitakatifu na unapojaribu kumweleza mtu kuwa wewe ni mcha mungu basi atakuona mpuuzi na usiye na akili timamu, mnyonge mnyongeni haki yake mpatieni ukweli ni kuwa watu wamechoka na habari za vitabu vitakatifu ndio maana kila kukicha tunasikia matukio yaliyo kinyume na maagizo ya vitabu vitakatifu.
Mkuu kweli????Una uhakika watu hawazini na vichanga mkuu? Au unaongea tu.
USHINDWE.Nasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha.
Hivi sasa hakuna binadamu ambaye anafurahishwa na maandiko ya vitabu vitakatifu na unapojaribu kumweleza mtu kuwa wewe ni mcha mungu basi atakuona mpuuzi na usiye na akili timamu, mnyonge mnyongeni haki yake mpatieni ukweli ni kuwa watu wamechoka na habari za vitabu vitakatifu ndio maana kila kukicha tunasikia matukio yaliyo kinyume na maagizo ya vitabu vitakatifu.
Nasema haya kwa dhati kabisa kutoka moyoni kuwa Shetani anaongoza kwa 100% dhidi ya mpinzani wake kulingana na mambo yaliyokatazwa na vitabu vitakatibfu kuzidi kupuuzwa na binadamu kila kukicha.