Mpaka sasa Shetani anaongoza kwa asilimia 100% dhidi ya mpinzani wake

Ukiachana na dini, Idadi ya wema bado ni kubwa sana ukilinganisha na idadi ya waasi. Siku ikiwa vice versa hapatakuwa na utulivu huu uliopo duniani.
 
Sio kweli
 
Mungu ndio shetani mwenyewe maana yake ni kwamba Mungu ni kila kitu unachokiona katika dunia usipoteze muda kujua kuwa mungu atakuja kumuadhibu shetani wakati ndio yeye atajiadhibu vp wakati plan zote anapanga mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji2][emoji1][emoji16][emoji38][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shetani ni toto Tundu,

Mamlaka yake Yana mipaka, angeruhusiwa kuvuka mipaka, angeshaichoma moto Dunia.

Mwanadamu akimkaribia Mungu, shetani Hana nafasi, bt ukitenda DHAMBI ndo unampa shetani uhalali wa kukupiga.

ANGALIZO; Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.

Amen
 
Hata kipindi cha Nuhu watu walisema kama wewe, hata kipindi cha sodoma na ghomora walikuwepo kama wewe, na hata sasa kuwepo watu kama wewe si kitu kigeni lakini haimaanisha ile siku ya kilio na kusaga meno haitakuwepo, INAKUJA, hivyo chagua fungu lako wisely
 
Ni wewe tu na fikra zako wacha Mungu bado wapo sana na ndiyo maana Dunia haiangamii soma warumi 6:1-2
 
Sawa mkuu,ila padilisha picha yako ya mbele mtoto wa kiume hakaagi hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata itokee ulimwengu mzima ukamsujudia mnyama na wafuasi wake na asiyesujudu achemshwe kwenye dizel inayotokota mimi sitomsujudia mnyama wwla shetani

Hata kama nimemkosea Mungu wangu namna gani lakini sitokubaliana na hoja kwamba shetani ameshinda. Katu hawezi kushinda.

Kinachowaumiza wanadamu ni conset yaani HIYARI ambapo mnamsingizia shetani kuwa anawaburuza kwenye uovu wakati yeye anakushawishi kwa kuweka tamaa mbele yako ili ufanye hiyari ya maamuzi uanguke.

Badili Mtazamo. Mungu hashindwi. Alimtengeneza binadamu aishi kwa utashi wwke na kumpatia kila kitu ikiwemo mamlaka.... Ametupa muda wa kujopatanisha naye
 
Si kweli, wewe ni muhongo, watakatifu wapo na wahaminifu mbele ya Mungu wao.
Hamna kitu wamebaki kufirana tu, si papa Fransic kasema wanaume wapelekeane moto tu sio kosa
 
Mkuu ili la kuzini na vichanga watu washirikina wanafanya sana wengine mpaka wanakula binadamu wenzao
 
Mungu ndio shetani mwenyewe maana yake ni kwamba Mungu ni kila kitu unachokiona katika dunia usipoteze muda kujua kuwa mungu atakuja kumuadhibu shetani wakati ndio yeye atajiadhibu vp wakati plan zote anapanga mwenyewe 😁😁😁
Acha kukufuru,IPO cku utaelewa.Tubu na uuangame, uiepuke hasira Kali ya YEHOVA juu ya waasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…