Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Yehova ndio nani mkuu yaan mnajitungia vitu katika vichwa vyenu halafu ndio mnataka wote tukubali mawazo yenu finyu πππAcha kukufuru,IPO cku utaelewa.Tubu na uuangame, uiepuke hasira Kali ya YEHOVA juu ya waasi.
Ipo cku utamtambua kuwa yeye ni nan,dharau vingne ila c kwa Mungu mtukufu aliye muumbaji(YEHOVA)Yehova ndio nani mkuu yaan mnajitungia vitu katika vichwa vyenu halafu ndio mnataka wote tukubali mawazo yenu finyu πππ
Nakuuliza Yehova ndio nani unaanza sijui utakumbana nae ww umeshawahi kukumbana nae ππIpo cku utamtambua kuwa yeye ni nan,dharau vingne ila c kwa Mungu mtukufu aliye muumbaji(YEHOVA)
Ndiye Mungu mtukufu aliyeumba vyote,mwenye uweza wote na nguvu zote,na upendo wote na asiyeshindwa chochote.aliyekuwako,aliyepo na atakayekuwako,utukufu,enzi,heshima una yeye milele hata mileleNakuuliza Yehova ndio nani unaanza sijui utakumbana nae ww umeshawahi kukumbana nae ππ
Hizo habari umezipata wapi wakati Mungu haonekani wewe kakuambia nani kama yeye anaitwa YehovahNdiye Mungu mtukufu aliyeumba vyote,mwenye uweza wote na nguvu zote,na upendo wote na asiyeshindwa chochote.aliyekuwako,aliyepo na atakayekuwako,utukufu,enzi,heshima una yeye milele hata milele
Ibilisi tulia basi dunia yako sasa ππππHizo habari umezipata wapi wakati Mungu haonekani wewe kakuambia nani kama yeye anaitwa Yehovah
Mkuu Mungu yupo ila sio wa bibllia au quran hawa ni wa kutungwa tu wamewatunga watu kwa interest zao wenyewe ππIbilisi tulia basi dunia yako sasa ππππ
Kwahiyo mnacheza mchezo wa kubahatisha?Ni heri uamini hata ukukikuta hayupo hamna hasara yoyote utapata kuliko kutokuamini alafu umkute
Papa Fransis ndio Mungu?Hamna kitu wamebaki kufirana tu, si papa Fransic kasema wanaume wapelekeane moto tu sio kosa
Huko kunakuwa sio kuamini tena.Ni heri uamini hata ukukikuta hayupo hamna hasara yoyote utapata kuliko kutokuamini alafu umkute
Siwezi semea wengine ila mimi binafsi naamini 200%
Ukumbuke kutoa sadaka ya laki au milioni mkuuMkuu Mungu yupo ila sio wa bibllia au quran hawa ni wa kutungwa tu wamewatunga watu kwa interest zao wenyewe ππ
Sadaka kwa naniUkumbuke kutoa sadaka ya laki au milioni mkuu
Kwa hao walionzisha dini za kupiga pesaSadaka kwa nani
labda nirogwe ndio nitatoa π πKwa hao walionzisha dini za kupiga pesa
Wanatoga saiv noma ukimkuta yupo na msalaba kila mala au yupo na tasbihi lakini anaweza ndumba kinoma....labda nirogwe ndio nitatoa π π
hatari sana kakaWanatoga saiv noma ukimkuta yupo na msalaba kila mala au yupo na tasbihi lakini anaweza ndumba kinoma....
Mbaya zaidi totoz hazipiti mbali kwao ni bakora tu...
NB: uchawi ukiutumia vyema ni mzuri sana