Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
mkuu bado unatumia p5 mpaka leo.? aibu
Mkuu Unamjua lakini Gaucho?
Duh!!!!mkuu bado unatumia p5 mpaka leo.? aibu
Acha ushamba na ulimbukeni, kwako simu ni ishu kubwa?mkuu bado unatumia p5 mpaka leo.? aibu
Wengi humu wamezaliwa juzi.
Nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze, Zidane, Stephen Efernberg, Dinho,
Figo, Luis enrique, Paul, Rivaldo, Nedved, Batistuta.
bado sijaona mchezaji kama zidane
mtazamo wangu naomba uheshimiwe
JJ okocha never seenMkuu Unamjua lakini Gaucho?
Ki ukweli kwa miaka ya tisini (1990's) hadi sasa hakuna kabisa mchezaji mwenye uwezo kumzidi Gaucho. Huyu jamaa alikuwa ni talented katika football.INAWEZEKANA! Jamaa alikuwa akishika mpira unapenda uendelee kumwona, mbwembe, matumizi ya mwili, chenga, aaaah ukweli hakuna kama Gaucho mpaka sasa.