BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Inamana huyo messi mpira hua anachezea uvunguni!! Yan amejichora mitattoo kama gazeti na mablich kichwan halafu unasema sio sharobaro....mahaba yakizid yanaua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mswahili=mahaba niuwe
Hivi huwa unajuwa maana ya sharobaro kweli? kubishana na vijana mlioanza kufuatilia mpira juzi tu ni kujipa stress za bure...
Messi
Maradona
Johan Cruiff
Alfredo de stefano
Puskas
Pele
Redondo
Zidane
Marco Van Basten
Umewafuatilia hawa mafundi??? Huyo gaucho wako kwa zidane tu hafui dafu kwa Messi na wenzie hapo juu ataweza!! Unachekesha bwana mdogo 😀chenga za bila magoli zinafaida gani kwa timu,tena vimechi vyenyewe kadhaa tu kaonekana... huo ni ulimbukeni tu 😀
Kama wewe ni kidume kweli kweli niwekee hapa mafanikio yake katika ligi 3 kubwa alizowahi kucheza, nami nitakuletea za kwangu! Usikimbie tu bwana mdogo!