Hatari Sana mkuuWaulize Chelsea...Second leg ya quarter final Champions league......nilikuwa bado sekondari
Aisee we jamaa umechanganyikiwa kweli. Yaani unajaribu kusema eti wengi wanamzidi alafu ukiambiwa utaje mmoja utasikia J.J. Okocha, Mara Messi, sijui Figo.Ubora wengi wamemzidi labda useme mbwembwe...
Nini maoni yako kuhusu GauchoNikajua utawataja akina kubala, garincha, Socrates, Di Stefano etc na wewe umetaja wachezaji wa juzi.
Hahahaahaaaa!!Popote alipokuwa Gaucho nilikuwa shabiki wa hiyo team akitoka na ushabiki unakufa. Hadi sasa ninavyoichukia barca mfano hakuna.
Garrincha alikuwa mzuri lakini bado atashika mgongo wa Gaucho.
GARRINCHA Ndo Alikua Mchawi Wa MpiRa....huyu ndo role model wa huyo unaemkubali
Binafsi namchukulia Gaucho kama greatest showboater kwenye ulimwengu wa soka.Nini maoni yako kuhusu Gaucho
Yani mkuu nakushukuru sana kwa kuleta hii mada ya mchawi wa kuchezea mpira. Mimi huwa namwazia tu huyu lakini the sikufikiriaga kumtolea post, kwa hilo nakupongeza sana....!!!!Hahahaahaaaa!!
We ni shida Mkuu.
Jamaa alikuwa anashabikiwa mpaka na Wapinzani wake.
Alafu kombe la dunia mwaka 2014, wananchi wa Brazil walikuwa wanamshawishi Dunga aliyekuwa kocha wa timu hiyo amtaje Gaucho kwenye kikosi bila kujali kuwa kiwango chake kilikuwa kimeshuka.
Washabiki wengi walitaka waone ladha ya mpira kwa Mara ya mwisho lakini Dunga alikataa.
Acha mahaba mkuu kuna wachezaji wazuri ambao wameweza kumaintain viwango vyao throughout their careers.Aisee we jamaa umechanganyikiwa kweli. Yaani unajaribu kusema eti wengi wanamzidi alafu ukiambiwa utaje mmoja utasikia J.J. Okocha, Mara Messi, sijui Figo.
Embu kuwa siriac japo kwa sekunde mkuu
Mkuu ni wachache tuu ambao watakao sema kuna anayemzidi huyu mchawi.Gaucho weka mbali. Wakati fulani nilikua nje ya nchi ikapigwa kura kati ya Gaucho na Zidane. Gaucho allipata votes 68% dhidi ya 32% za Zizzou. Gaucho ni the best mimi wa zamani lakini huyu mtu wa juzi hana adabu kwa kaka zake.
hebu muulize kama anamfahamu mchezaji wa ghana aliyekuwa anaitwa Tony Yeboah, unaenda mpiga ngwala unaanguka wewe, yeye anaambaa ambaa na mpira, jamaa alikuwa ananiacha hoi sana, ukienda kwa nia ya kumuangusha unaanguka wewe, na mkianguka pa1 yeye anakuwa wa mwanzo kuamka, na alikuwa pande la mtu sasaMtoto wa juz kwel ww na nilicho gundua huwa unaangalia mech kubwa tuu. Hv kwel wewe unamjua Jay Jay Okocha, Gaucho mwenyewe kwa kinywa chake anakili kujifunza mambo kwa Okocha
Hao wote bado sana kwa RonaldinhoMkuu kumbe na wewe wa juz tu
Binafsi namchukulia Gaucho kama greatest showboater kwenye ulimwengu wa soka.
Upande wa footballer as a whole Gaucho lacked professionalism na hii ndio inamwondoa among the elites kama Maradona, Messi, Pele etc.
Hii ndio JF Mkuu.Yani mkuu nakushukuru sana kwa kuleta hii mada ya mchawi wa kuchezea mpira. Mimi huwa namwazia tu huyu lakini the sikufikiriaga kumtolea post, kwa hilo nakupongeza sana....!!!!