Mpaka sasa, Simba thamani yake ni Bilioni 20 ambazo hazijulikani mahala zilipo

Mpaka sasa, Simba thamani yake ni Bilioni 20 ambazo hazijulikani mahala zilipo

Kwani GSM yupo peke yake kwenye mali anazomiliki sasa team yenye hela inashindwaje kwenda pre season halafu walala hoi wapo misri
Kwani GSM yeye kama yeye anasemaje?
 
Heading inahusu Simba, nashangaa nakutana na jambo kuhusu Yanga. Hivi hamuwezi kutojifananisha na simba??

Tulishavuka huko sie, byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu kwa matusi ya aina hii, eti mnapata kabisa ujasiri wa kumsema simba mwenzenu aliye ajiriwa pale Yanga kwa mkakati maalum! Haji Manara kwa kuwa na mdomo mchafu!

Hamjawahi kabisa kuwa na uvumilivu. Nyinyi kutukana ndiyo silaha pekee ya kumlinda kwa namna yoyote ile yule Mhindi wenu kutokana na ujanja ujanja wake!
vinyesi FC wenye akili ni wawili wengine hatuna haja kujadiliana mnanuka mavi
 
Halafu kwa matusi ya aina hii, eti mnapata kabisa ujasiri wa kumsema simba mwenzenu aliye ajiriwa pale Yanga kwa mkakati maalum! Haji Manara kwa kuwa na mdomo mchafu!

Hamjawahi kabisa kuwa na uvumilivu. Nyinyi kutukana ndiyo silaha pekee ya kumlinda kwa namna yoyote ile yule Mhindi wenu kutokana na ujanja ujanja wake!
Kumbe mnajua kuwa yule sope ni mnyama,ngoja basi amalize kazi tuliyomtuma ya kukupakeni kinyesi hadi kila mtopolo anuke mimavi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom